lutajangurwa
Senior Member
- Sep 21, 2019
- 126
- 172
Mv victoria ni kwa ajili ya kusafirisha ndiizi....siku nyingine upande ndegeMara ya kwanza nilipoandika uzi kuhusu kunguni katika meli yet pendwa ya MV Victoria, ulifutwa mara moja.
Naomba admin mjue sisi abiria ndo tunaumia. Wingi wa kunguni hata Jela haifui dafu. Jamani wahusika tusaidieni. Najua mnamtafutia mama lawama, lakini kwa hili hahusiki.
Meli imekuwa mazalio ya kunguni na viroboto. Sasa abiria tunajiuliza, ni uzembe au ni ile tu watu kuwa irresponsible? Wahusika, waziri wetu wa uchukuzi, ingilia hili jambo.
hawa fleas washenzi sanaviroboto
Ha ha ha,we jamaa weweMv victoria ni kwa ajili ya kusafirisha ndiizi....siku nyingine upande ndege
Wasema kweli! Unanifanya nimkumbuke baba wa Wanyonge. Usafiri huu wa meli aliuzindua kwa ajili yet na mizigo.Mv victoria ni kwa ajili ya kusafirisha ndiizi....siku nyingine upande ndege
Iwe bhojo.Mara ya kwanza nilipoandika uzi kuhusu kunguni katika meli yet pendwa ya MV Victoria, ulifutwa mara moja.
Naomba admin mjue sisi abiria ndo tunaumia. Wingi wa kunguni hata Jela haifui dafu. Jamani wahusika tusaidieni. Najua mnamtafutia mama lawama, lakini kwa hili hahusiki.
Meli imekuwa mazalio ya kunguni na viroboto. Sasa abiria tunajiuliza, ni uzembe au ni ile tu watu kuwa irresponsible? Wahusika, waziri wetu wa uchukuzi, ingilia hili jambo.
Hivi nani kakuelekeza mada hii uipe mchepuko wa kisiasa? Mimi huko sitokuwa na weweKunguni ni takwa la kikatiba jombaa
Una maana hata Serikali wamejaribu wakashindwa?Kunguni wakishaingia kuwatoa sio kazi rahs kama unavyofkria,...
Kunguni, papasi, mende na viroboto ni dalili ya uchafu, uongozi haujalipa kipaumbele swala la usafi na pengine hata dawa ya kuua wadudu bajeti yake inaliwaMara ya kwanza nilipoandika uzi kuhusu kunguni katika meli yet pendwa ya MV Victoria, ulifutwa mara moja.
Naomba admin mjue sisi abiria ndo tunaumia. Wingi wa kunguni hata Jela haifui dafu. Jamani wahusika tusaidieni. Najua mnamtafutia mama lawama, lakini kwa hili hahusiki.
Meli imekuwa mazalio ya kunguni na viroboto. Sasa abiria tunajiuliza, ni uzembe au ni ile tu watu kuwa irresponsible? Wahusika, waziri wetu wa uchukuzi, ingilia hili jambo.
MTU mweusi hajawahi kujitawala na kuji manage tangu enzi na enzi!Ile meli chafu kupitiliza, niliipanda mara moja kwa sababu nililazimika. Kumsindikiza shoga yangu msibani, shoga yangu alikuwa ana mtoto akapewa kule kitanda si ndo nikaenda kuona alipo lala? Nusu nitapike, nilikuta wanawake wenye watoto joto kali harufu mbaya, nusu nifie huko.
Nilimchukuwa mtoto nikamwambia huwezi lala huku nifate, ndo tukaenda kule ground kuna siti wazi na ni pa baridi.
Tulichelewa hivyo vitanda wanaita first class vilikuwa vimeisha, hatukuwa na namna. Kule vyooni kuna harufu mbaya mbayaaaaaa yesu wangu, nilifika mlangoni kwenda haja ndogo nilishindwa kuingia, nilisema kama ningekuwa mwanaume basi ningekojoa majini, nilibana mkojo mpaka nafika.
Kule hotelini sehemu ya chakula ndo panavutia, so masaa mengi nilikaa kule mara nilie chakula mara chai kuvuta muda.ila kuna muda wanafunga.
Kuna mmoja analalaga hivyo vyumba first clasi alinambia kunguni ziko pale pale.mbaya zaidi hata ulale first clasi, vyoo ni vile vile lazima ushike chini ukutane na hiyo harufu.
Kwa uchafu wa mule ndani bila fumigation kunguni watazalia na vitukuu.
Mimi naona wanaokunywa pombe atleast ndo ukaa kule bar ni kusafi so unapiga pombe zako muda unasogea.