Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Hata wafanyeje hawawezi , kunguni wakiingia hawana dawa , solutions ni dawa + abandon , kitu ambacho ni impossible mana meli lazima ipige kazi , lazima mazalia yataendelea kuwepoUna maana hata Serikali wamejaribu wakashindwa?