DOKEZO Jamani jamani kunguni ndani ya MV Victoria zitatuua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani kunguni tuu mnaomba waziri aingilie/awasaidie? kwa akili hiyo acha mliwe na kunguni tuu
 
Hivi meli zetu zipo chini yq TEMESA au bodi gani inazisimamia?
Wakaguzi wafutwe kazi
Wahudumu wapewe ngalawa wakavue samaki
Serikali iajiri watu wanaojua wajibu wao
 
Pole sana mkuu, umeandika kwa uchungu mwingi Sana.

Hii ndio nchi yetu.
TUNA VIONGOZI NA WATU WA HOVYO SANA.

Kila usafiri wa uma ni hatari kwa USALAMA na Afya kuanzia. Ndege,
Daladala zinajaza hatari,
Daladala za dodoma zina kunguni mno.
Treni ndio balaa.
Hadi kwenye meli kunguni.

NCHI ZA WENZENU HAWANA HATA
MBU.
MENDE.
NZI.
KUNGUNI.
VIROBOTO.
CHAWA WALA..
DUDUMIZI.

HAKUNA UKAGUZI HAKUNA USALAMA NI HARUFU KALI YA RUSHWA.
 
Your browser is not able to display this video.
 
MTU mweusi ni cursed race


Watu wanalipia bili za
Maji na maji wanashindwa kuleta.


Watu wanalipia umeme na umeme wanashindwa kuleta


Watu wanalipa nauli za Meli na wanashindwa kutoa huduma Bora.


Sasa hizi sio laana.


Nakuhakikishia Leo wakisema walete referendum raia waamue kurudi kutawaliwa na wazungu au kuendelea kutawaliwa na weusi wenzetu , wengi watajibu turudi utumwani.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hata wafanyeje hawawezi , kunguni wakiingia hawana dawa , solutions ni dawa + abandon , kitu ambacho ni impossible mana meli lazima ipige kazi , lazima mazalia yataendelea kuwepo
kwa hiyo kunguni wakiingia nyumbani kwako uta abandon nyumba yako?
 
Sasa kama kunguni tu wanatushinda kufanya fumigation na kuwamaliza , sisi tunaweza nini hasa? hivi kwenye masuala nyeti kama ya usalama na uimara wa hiyo meli tutakuwa serious kweli? halafu ikitokea ajali hapa mnaanza kuunda tume za kuendelea kula hela , ni upuuzi sana hii ngozi yetu nyeusi , kwa ufupi tuna matatizo mengi sana ya kiufundi upstairs
 
Nyinyi mnachoweza ni wizi....ungekuwa karibu ningekuweka kibao cha mgongo, acha wizi
 
Hivi meli zetu zipo chini yq TEMESA au bodi gani inazisimamia?
Wakaguzi wafutwe kazi
Wahudumu wapewe ngalawa wakavue samaki
Serikali iajiri watu wanaojua wajibu wao
Natamani mbunge wangu Kanyasu Msukuma (PhD), msomi wa heshima, mfalme wa wabunge wa Kanda ya Ziwa, angelijua hili. Namuaminia kwa kupiga mbinja. Hanaga utani.

Mwenye kujuana naye tafadhali amfoadie. Tunateseka
 
Natamani mbunge wangu Kanyasu Msukuma (PhD), msomi wa heshima, mfalme wa wabunge wa Kanda ya Ziwa, angelijua hili. Namuaminia kwa kupiga mbinja. Hanaga utani.

Mwenye kujuana naye tafadhali amfoadie. Tunateseka
Najiuliza endapo meli hiyo inatumiwa mpaka na watalii
Tumeanika godoro njia panda baada ya kukojolea kitandani
 
Kwa hilo mtateseka tu, labda Mungu atende miugiza
 
Achana na Meli panda ndege ya Precision Air
 
Kunguni, papasi, mende na viroboto ni dalili ya uchafu, uongozi haujalipa kipaumbele swala la usafi na pengine hata dawa ya kuua wadudu bajeti yake inaliwa
Watanzania sisi ni wazembe sana,nilikuwa napenda ile tabia aliyoianzisha mwamba ya kuvamia kwa ghafla kwenye taasisi,ilikuwa kwa kiwango flani inasaidida watu kujitambua,ila ni kwanini tusubiri mpaka Raisi aje kwenye maeneo kama hayo wakati kuna rundo la viongozi wengine chini yake...
 
Pole kwani umebeba wengine umewapeleka nyumbani,jitahid kufanya usafi na dawa za kuulia wadudu mara Kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…