Jamani jamani naomba msije jichanganya kuwa na mahusiano na wanawake wa uswahilini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya.

Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu.

Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
 
Huyo gea naye ni walewale tuu
 
Acha Generalization
Hata huko uswahili Kuna washua vile vile
 
Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya.

Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu.

Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
Hivi imagine unamuoa yule dada mswahuliswahili wa kijiwe nongwa si unakuwa umeoa lishetani
 
Katika Kua Yangu Nimekaa Sana Temeke Kwa Aziz Ally, Mtoni Mtongani niseme Tu Watoto Wa Kike wa Uswahilini ni Hatarii!!
 
Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya.

Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu.

Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
Husitupangie!
 
Back
Top Bottom