Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Ebhanaee nimecheka sana.... Halafu awe amebanwa na mkojo, gafla kajiseti pembeni ya uchochoro anakojoa, unaeza panga foleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] foleni ya kwenda kuchota maji?
 
Khahahaa....

Even rick ross already loss a weight.

It could be better for peter msechu to lose a weight like rick rozay.
 
Mods mniondolee hili tangazo la tandabui then nitarudi kuchangia

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Ana mwili mzuri wa kucheza sumo (SUMO WRESTLING) bahati mbaya TZ hatuna huo mchezo .
 
Miili mingine ni ya asili tu jamani yani inawezekana uyu jamaa hata kula hali na mwili unakuja wenyewe sidhani kama yeye mwenyewe anaipenda hiyo hali kabla hujafa hujaumbika wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8ae75a9b7634256385e22e06f28c27b5.jpg

1efd65b1831f452eec952884dbf78b94.jpg
2b572294536d4e1af676fc250891f008.jpg
 
Mbona kavaa shati la le mutuz [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Yani ule ni ugonjwa...yupo ktk risk ya Hypertension, heart problems, kidney problsms...na hatuwezi shangaa kusika kapata heart attack..
Halafu anasema mkitaka apunguze mwili alipwe hela, utafikiri sisi ndo tupo kwenye risk ya kupata magonjwa.
.
.
Mi namuonea huruma mke wake, huyu angekuwa ni mume wangu ningempa likizo ya bila malipo.
 
Back
Top Bottom