Nomadix JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 2,411 Reaction score 6,646 Mar 9, 2025 #21 Setfree said: Wameogopa kuja? 🙂 Click to expand... 🙂 daima nyuzi za injili hupata engagement kidogo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #22 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,255 Reaction score 6,252 Mar 9, 2025 #23 Ujumbe mzuri, lakini mkumbushe wifi yako anaweza akawa chanzo cha jamaa kuwa hivyo
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Mar 9, 2025 #24 Hakuna mwanamke wakufanya hayo uliyoandika, hizo ni theory za riwaya.