Lonely heart
Member
- Oct 21, 2011
- 46
- 20
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi, 1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa 2. ANAJISKIA na ANADHARAU sn huyu kaka ymg hakua na haka katabia lkn kapata vijisent kidogo anatudhau ndugu zk ile mbaya 3. kilichoniuma kuliko vyote ni nilipokosana na MUME WNG MAMBO YA KAWIDA 2 alipojua tu akaanza KUMCHOCHEA MUME WANGU ANIFUKZE, kitendo hiki kimenikera sn tn sn, PLEASE! PLEASE! NAOMBENI MNIPE MBINU ZA KISASA KUMKOMESHA.

duh! hii kali sasa yani kaka yako kabisa au a braza 4m anaza maza mana kama ni kaka yako hawezi kufanya ivo labda kuna la zaidi hutaki kutujuza

kaka yangu kabisa mama 1 baba 1, tumemkanya hakanyiki mpaka vikao vya ukoo tumemwitia hakomi, keshavunja ndoa ya dada y2 kwa umbea wake, hata mwezi haujaisha kavunja uchumba wa mdogo wetu, sasa kahamia kwng, MI SIWEZI KUKUBALI NITAVAA HT MABOMU NIJITOE MUHANGA KUOKOA JAHAZI