Jamani kaka yangu kazidi, naombeni mbinu za kumshikisha adabu

Jamani kaka yangu kazidi, naombeni mbinu za kumshikisha adabu

Lonely heart

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
46
Reaction score
20
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi,

1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa

2. ANAJISKIA na ANADHARAU sn huyu kaka ymg hakua na haka katabia lkn kapata vijisent kidogo anatudhau ndugu zk ile mbaya

3. kilichoniuma kuliko vyote ni nilipokosana na MUME WNG MAMBO YA KAWIDA tu, alipojua tu akaanza KUMCHOCHEA MUME WANGU ANIFUKZE, kitendo hiki kimenikera sana tena sana.

PLEASE! PLEASE! NAOMBENI MNIPE MBINU ZA KISASA KUMKOMESHA.
 
Kaka? Kaka anakugombanisha na shemeji yake anataka nini toka kwako au kaka wa kuunga damu upande mmoja? Nenda kwa mtu mzima kama unclee atakushauri lakini angalia mambo ya ndugu,lonely!
 
Haya bwana kakaako huyo nenda kamsemee kwa mjomba, bamkubwa au hata babaenu kama yupo... Kaka kaka kaka kaka???
 
kaka gani huyu? Mbona anavisa hivyo! Labda kuna ulichomkosea. Nenda kaseme kwa baba.
 
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi, 1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa 2. ANAJISKIA na ANADHARAU sn huyu kaka ymg hakua na haka katabia lkn kapata vijisent kidogo anatudhau ndugu zk ile mbaya 3. kilichoniuma kuliko vyote ni nilipokosana na MUME WNG MAMBO YA KAWIDA 2 alipojua tu akaanza KUMCHOCHEA MUME WANGU ANIFUKZE, kitendo hiki kimenikera sn tn sn, PLEASE! PLEASE! NAOMBENI MNIPE MBINU ZA KISASA KUMKOMESHA.

kakako shoga, anakuharibia ndoa yako
 
with family like that..who needs enemy???????????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mh na wewe mambo ya ndugu mpaka uje huku si uyamalize ki-homehome? Chukua time huko?
 
Kwa nini ili suala msikae kama familia mkaongea mkalimaza kifamilia sababu mnajuana zaidi
 
kaka yangu kabisa mama 1 baba 1, tumemkanya hakanyiki mpaka vikao vya ukoo tumemwitia hakomi, keshavunja ndoa ya dada y2 kwa umbea wake, hata mwezi haujaisha kavunja uchumba wa mdogo wetu, sasa kahamia kwng, MI SIWEZI KUKUBALI NITAVAA HT MABOMU NIJITOE MUHANGA KUOKOA JAHAZI
 
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi, 1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa 2. ANAJISKIA na ANADHARAU sn huyu kaka ymg hakua na haka katabia lkn kapata vijisent kidogo anatudhau ndugu zk ile mbaya 3. kilichoniuma kuliko vyote ni nilipokosana na MUME WNG MAMBO YA KAWIDA 2 alipojua tu akaanza KUMCHOCHEA MUME WANGU ANIFUKZE, kitendo hiki kimenikera sn tn sn, PLEASE! PLEASE! NAOMBENI MNIPE MBINU ZA KISASA KUMKOMESHA.

ningekuwa shemeji yake angekoma kuringa. Nafasi unayo ya yeye kuniita shemeji.
 
duh! hii kali sasa yani kaka yako kabisa au a braza 4m anaza maza mana kama ni kaka yako hawezi kufanya ivo labda kuna la zaidi hutaki kutujuza
 
hawezi kuwa kaka labda jikaka! Mie sikushauri tena chukua time huko na mambo yako ya likaka lako kwenda zenu huko.
 
duh! hii kali sasa yani kaka yako kabisa au a braza 4m anaza maza mana kama ni kaka yako hawezi kufanya ivo labda kuna la zaidi hutaki kutujuza

Ni kaka Aminata, ili inaonyesha ana akili za Mbayuwayu
 
duh! hii kali sasa yani kaka yako kabisa au a braza 4m anaza maza mana kama ni kaka yako hawezi kufanya ivo labda kuna la zaidi hutaki kutujuza

Aminata, read along the lines ya hii kitu, that man is jikaka i guess. Kaka waukweli hakunaga mbona atakaefanyaga mambo hzo. Nae awe mkweli coz anamuita 'kaka m1', mara jaka-flani' hebu mwambie achukue time at ajikate au akitoe zake! Lol
 
1. Mpotezee
2. Mdharau
3. Asijue mambo yako.

Hao ndo undugu lawama
 
Huyo kaka yako siyo wa damu! Kaka wa damu hata awe kichaa heshima lazima iwepo! Hiyo inaweza kuwa mbegu ya Al-shabaab.
 
jamani atajilipua huyu mwanandoa sababu ya umbea wa kakake! Mnalionaje hlo? Badala ya kumlipua kakake jamvini tumuelewe kama si mali ki2 Ye ataka kujilgpua kisaaa? Mh aseme au waliunga damu?
 
kaka yangu kabisa mama 1 baba 1, tumemkanya hakanyiki mpaka vikao vya ukoo tumemwitia hakomi, keshavunja ndoa ya dada y2 kwa umbea wake, hata mwezi haujaisha kavunja uchumba wa mdogo wetu, sasa kahamia kwng, MI SIWEZI KUKUBALI NITAVAA HT MABOMU NIJITOE MUHANGA KUOKOA JAHAZI

Jamani???? Mbona hatari! Ana mke huyo kaka yenu? Mlimkosea nini aisee, au nyie ndo mlianza kumdharau sasa nae kafanikiwa ameamua kulipa kisasi! Jichunguzeni jamani muombane msamaha yaishe, hayo maisha sio kabisa!!!
 
Back
Top Bottom