Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.

Mohath

Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu.
:A S thumbs_up:
 

Rekebisha uandishi wako ndugu yangu Mwalimu Mohath , usituweke mashakani tafadhali !
 
Last edited by a moderator:

kazi ipo!!!
 
uwii walimu tuna kaz mwaka huu hv na wewe mtoa mada ni mwalimu? au mwalimu wa madrasa?
 
Ujinga mtupu..we ni mwalimu wa ngumbaru au?
 
Duuh..!wewe ni mwalimu level ipi?
Degree?
Diploma?
Certificate?
Mkuu
 
Hili halijtambui ilimradi limepost kitu kakojoe ukalale
 
Walimu kwa namna hii watoto wetu watazidi kufeli tu
 
Ile sifa ya JF kuwa ni eneo la watu wenye upeo mkubwa wa kufikiria nahisi kama unapotea hivi, maana post zingine ukizisoma hazina mashiko kabisa na hawa sasa wanaonza midahalo ya kidini humu ndo wanazid kuchafua eneo, maana nahofia watatukanwa na kukashifiwa wasiohusika.Ushauri wangu tujadili masuala yanayohusu elimu kuhusu dini ni bora kila mtu abakie na anachokiamin.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…