Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
Mwalimu wa Madrasa huyu....Elimu dunia hakuna kichwani anajua kusoma na kuandika tu.....ila kiarabu mkali sana.
 
Huyo jamaa anajifunza kupost mada sasa kashindwa ku review baada ya kuandika

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Walimu baada ya subira ya mda mrefu hatimaye kesho tar15 inakarbia.tuwe wavumilivu tujue vituo vyetu vya kazi.asanteni
 
Walimu baada ya subira ya mda mrefu hatimaye kesho tar15 inakarbia.tuwe wavumilivu tujue vituo vyetu vya kazi.asanteni

Jaman naombeni kama post zikitoka kesho tusaidiane kuweka mafaili ya pdf humu jukwaani mana wengine hatutumii computer na simu tunazotumia hazina uwezo wa kufungua mafaili ya pdf..ahsanteni!
 
Jaman naombeni post zikitoka tusaidiane kuweka mafaili ya pdf ya post hizo humu jukwaan mana wengine hatuna computer na simu tunazotumia hazina uwezo wa kufungua mafaili ya pdf...ahsanteni!
 
kama ckosei wataya achia uck wa kuamkia kesho, km haitakuwa siasa
 
Kuna mtu kanipigia simu asubuhi ya leo ijumaa kanambia kuwa eti ajira zipo mtandaoni! Vip[i hizi habari ni za kweli?????
 
Subira yavuta heri,nani kakwambia hyo,subira yachelewesha kitu ya maendeleo! WATOE KESHO SAA 00:01,wakiptiliza muda huu,basii ujue mpaka jumanne saa 00:01.
 
Sasa kama sio ujinga,umeweza kuingia humu jf ulishindwa nini kuingia kwenye web ya wizara ya elimu?
 
K.Majaliwa hakika mwenyezi Mungu atakulaani kama hizo post hazitatoka kesho tr 15.Ujumbe huu ukifikie popote pale ulipo.
 
Jaman naombeni kama post zikitoka kesho tusaidiane kuweka mafaili ya pdf humu jukwaani mana wengine hatutumii computer na simu tunazotumia hazina uwezo wa kufungua mafaili ya pdf..ahsanteni!

good idea! Goma Son,naamini wamesikia kilio chako.
 
Hellllllooooooooooowwwwwwwwwwwwwwww!waalimu wenzangu tukae mkao wa kula mmda c mre fu,ma mb o ya taku a poa,ila n ashau ri 2p ige kaz kozi t una dhima ku bwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kuto kana kuw a ualim u uli anzia kwa mitu me we2 Adam had Muhammad! a u c o.
:A S thumbs_up:

huyu ni mwalimu kweli?

ndio maana mnakandamizwa walimu wa siku hizi...!!!

kijana sijui umelishwa matango pori?
 
mi nafikiri mzigo watautupia uck saa 00:01 wadau si ndo itakuwa tareh 15 ishafka ndo inapoanzia siku
 
KINACHOFANYA WAÀCHILIE LEO USIKU NI KUKWEPA USUMBUFU WA INTERNET PROBLEMS IN DOWNLOADING FILES. Weekends hawapo kazini. Kwa hiyo jmosi mtaangalia, jmapili. Ikifika j3, mtakuwa mmepunguza kufungua kwa uwingi na server yao itakuwa underworking due to the decrease of internet visitors. Therefore expect it this midnight of 14th. Thanks
 
Acha usengenyaji. Kama s umbea imekushinda nini kufungua? Au muulize akuambie vîzuri na yako upande gani ili nasi tuyaone.
 
Hicho nacho kiingereza au kirumi? Unanitia shaka kama wewe ni mwalimu. BE SPECIFIC and not otherwise.
Mimi Ni JF Member. Humu hatutumii wadhifa ama kazi kama identity. Mie nimefanya kumuuliza jamaa kama Ni mwalimu maana lugha aliyoitumia kaweka ally kwenye adjective pasipo na msingi wowote na ikapindisha kabisa maana halisi. Soma reply yangu ya mwanzo kwake.
Wakatabahu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom