Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
kwahiyo mnachofanya ni kuringishia au kukomoa wenzenu ambao hawana "baba zao wadogo" au?

Ndugu, hawa watu wamebadilisha hili jukwaa kuwa jukwaa la chit-chat.

Wana cc rudini kwenye jukwaa lenu jamani, huku tumezoea habari za ukweli na uhakuka.
 
Ila cha ajabu watu wakifika kwenye miji yao unakuta wanashinda barabaran na bodaboda wanapiga pesa shule kwenda kwa manati
 
Ndo maanake usikute wahusika wenyewe wakata ulabu tu mida hii au washaangusha
 
Walimu wenyewe twajuana kwa vilemba akiingia ambaye si mwalimu anga hizi lazima ataboa watu tu.
 
Nikweli usemavyo hata mimi naamini hii sehemu ni sehemu yakuweka vitu vyamaana viusuyo elimu kwaujumla kwa mtazamo chanya kwa ajili ya maendeleo ya elimu yetu hapa nchini, lakini mara nyingi watu huandika chuo fulani kimefanya nini sijui basi ilimradi nae kaandika jamani ebu tuifanye hii sehemu iwe kweli FOR GREAT THINKERS AND NOT OTHERWISE
 
Hapa dawa kulala na yakiwekwa natia mgomo siyaangalii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom