Walimu baada ya subira ya mda mrefu hatimaye kesho tar15 inakarbia.tuwe wavumilivu tujue vituo vyetu vya kazi.asanteni
Be specifically when u fly things
Jaman naombeni kama post zikitoka kesho tusaidiane kuweka mafaili ya pdf humu jukwaani mana wengine hatutumii computer na simu tunazotumia hazina uwezo wa kufungua mafaili ya pdf..ahsanteni!
Hellllllooooooooooowwwwwwwwwwwwwwww!waalimu wenzangu tukae mkao wa kula mmda c mre fu,ma mb o ya taku a poa,ila n ashau ri 2p ige kaz kozi t una dhima ku bwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kuto kana kuw a ualim u uli anzia kwa mitu me we2 Adam had Muhammad! a u c o.
:A S thumbs_up:
Sasa kama sio ujinga,umeweza kuingia humu jf ulishindwa nini kuingia kwenye web ya wizara ya elimu?
Mimi Ni JF Member. Humu hatutumii wadhifa ama kazi kama identity. Mie nimefanya kumuuliza jamaa kama Ni mwalimu maana lugha aliyoitumia kaweka ally kwenye adjective pasipo na msingi wowote na ikapindisha kabisa maana halisi. Soma reply yangu ya mwanzo kwake.Hicho nacho kiingereza au kirumi? Unanitia shaka kama wewe ni mwalimu. BE SPECIFIC and not otherwise.