Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
Jaman naombeni kama post zikitoka kesho tusaidiane kuweka mafaili ya pdf humu jukwaani mana wengine hatutumii computer na simu tunazotumia hazina uwezo wa kufungua mafaili ya pdf..ahsanteni!

Nahilo la pdf likiwekwa utalinguaje sasa kama cm yako haina uwezo!!??
 
wadau wengi wanazo kwenye flash, nishajua kwangu kesho ni kuthibitisha tu
 
Mkuu kwa jinsi ninavyo kufahamu ungeweka hiyo pdf hapa.
 
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!
 
Daah TAMISEMI wabaya jaman wamenitupa pasipofaaa'
 
kwahiyo mnachofanya ni kuringishia au kukomoa wenzenu ambao hawana "baba zao wadogo" au?
 
Duh! Naona huku ni kwa walimu tu ngoja niondoke zangu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…