kwahiyo mnachofanya ni kuringishia au kukomoa wenzenu ambao hawana "baba zao wadogo" au?
hahaha! Muone vile roho mbaya tu! Makangarawe ndo wapi?
Daah TAMISEMI wabaya jaman wamenitupa pasipofaaa'
Namtumbo huko, mshahara unauufuata kwa baiskeli
Leo hapa halali mtu mpaka kieleweke
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!
Huku pia panahusika.Click:
United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training