Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
duh bado hakijaeleweka ngoja niendelee kuzunguka zunguka labda ntakuta tayali kwa kuwa sina hata usingizi siku ya leo.
 
Ha ha ha ha leo vifurushi(MB) vya tumika jmn daah
 
Hii morali yakutaka kujuwa eneo la kaz jmn daah kweli walimu tumeshachoka kaz mbaya ukiwanayo bhana
 
wadau mbona nimeangaika sana kusearch majina ila hollaaaaaaaa ata usingizi nimekosa kabisa nakesha leo
 
Jamani wadau nimesikia majina yameachiwa online yanapatikana kwenye website gani mwenye update atupe
 
Duh ! Website husika bado haifunguki. Kwa vyovyote vile ,leo nitafurahi sana .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…