Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
msichanganye watu nyie kama hayajatoka kwa nini urushe watu roho? website yenyewe haipo
 
Naona IT wao yupo makin maana alivyozuia mtandao hautak kabisaaaaa kufunguka ngoja tuwaache
 
Huyu katibu wa TAMISEMI,ametuona si wangese! iweje toka jana website yao haifunguki? au changa la macho ili tushndwe kuhoji?
 
Nyie si mlishaonekana vibonde acha mwonewe!!!
 
Nipo ofisini kwa k.majaliwa maana nimechoka wrong wrong zake ambaye yupo tayari aje tuungane.
 
Oohoooooo jamani mambo yaleeeeeeee!ndan ya SAA 3 au 4 hv
 
Tuwasiliane ndg zangu na kuelekezana min kdogo no mwenyej. Nakutakia subira njema mara tu watakapo tangaza Leo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom