mwalimu wenu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 203
- 19
We unadhani kama ualimu ni hivi, inakuwaje kwa wengine si hadi soli ya kiatu imeisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ninywe pilton kadhaa nilala mpaka hiyo time ndipo niamke na kuyakuta.
Nataman kuamka ila naona tabu itabid nilale kwa hasira had nikisikia wameshaweka ndo naamka
ninafurahi sana kuona ualimu sasa unathamani kubwa.., chezea TGTS wewe..,,
Majina mbona tunayo mapema tu, ila kuna baadhi ya vyuo watu watalia hakuna majina yao kabisa, majanga