salama kabisa tupo bwana tunasubiri ajira kama ujio wa masiha vilee!!
Humu hali ni tete mpaka sasa
Be specifically when u fly things
Namtumbo huko, mshahara unauufuata kwa baiskeli
imbombo ngafu
tumuulize Makuku Rey
Teh teh teeeh.... Kama na huyu jamaa ni mwalimu basi duuh
Nipo ofisini kwa k.majaliwa maana nimechoka wrong wrong zake ambaye yupo tayari aje tuungane.