Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
ngoja 2we na subra mpaka saa 2359 au co wadau ndo 2jue xx kama2amisemi wasanii au waigizaj
 
ninafurahi sana kuona ualimu sasa unathamani kubwa.., chezea TGTS wewe..,,
 
watu wanafanya yao, kwenda bush kupenda. Chukua hiyo.
 
Ebhana nomekesha hapa mijicho haitak hata kufunguka halafu na majina ndo ivo jmn hii balaa
 
Nipo ofisini kwa k.majaliwa maana nimechoka wrong wrong zake ambaye yupo tayari aje tuungane.

We jamaa unafanya nini huko? Nenda ofisi ya KATIBU MKUU WA TAMISEMI-SAGINI, huko umeinglia mlango wa kutokea...,...
 
Nataman kuamka ila naona tabu itabid nilale kwa hasira had nikisikia wameshaweka ndo naamka wakipitisha siku itabid nipige KUNJI la mtu mmoja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…