Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
We unadhani kama ualimu ni hivi, inakuwaje kwa wengine si hadi soli ya kiatu imeisha.
 
Kusema ukweli inachekesha halafu inauzunisha vilevile.website yenyewe imezima.
 
Natamani ninywe pilton kadhaa nilala mpaka hiyo time ndipo niamke na kuyakuta.
 
Aaaaah watu wameenda kufanya nn tena wanataka watoe mtu meno nn
 
Mbona website yao haifunguki jaman?au ndo tuseme kuanzia jana wanaweka hadi sasa.cant understand this serikali for sure
 
NIMEJARIBU HATA KUHIJACK LAKINI CODES LEO IMEKATAA. Naona kama Data base yao imezimwa kabisa. Halafu cha kunishangaza jana jioni saa mbili yalionekana majina 29,000 halafu ilipotimia saa 3:18 yalikuwa 31205. Sasa leo nimeamka tumeingiza codes lakini inatuletea Red. Ila nahisi kuna watu walihijack kwa kuweka codes tofauti. Inaweza chukuwa hata masaa kurekebisha codes.
 
Nataman kuamka ila naona tabu itabid nilale kwa hasira had nikisikia wameshaweka ndo naamka

Utasikiaje wakati utakuwa umelala?
Endelea na mkesha SJA maana hujui siku wala saa watakayotoa majina, ila kuripoti ni sikukuu ya wajinga.
 
Last edited by a moderator:
Majina mbona tunayo mapema tu, ila kuna baadhi ya vyuo watu watalia hakuna majina yao kabisa, majanga
 
Polen saana ..ila msikate tamaa endeleeni kujifarij .maana ajira zenu mpaka mwakakesho mwez wa pili.
 
Ndesangao wewe ni malware virus unataka kuharibu mind za watu teeeh teeh
 
Nimekubali tz wako juu IT. Tulifungua jana ikatuletea majina licha yalikuwa sii yote. Halafu baadaye tuliingiza tena Codes ikatuonesha majina yameongezeka. Ukijaribu kufanya Coppying inaleta red shield. Leo tumeamka tumeingiza the same codes imebuma. Tuliingilia database kwa kutumia different codes ikafunguka lakini ikaonesha kuna watu walishindwa kubadilisha codes kutoka programming language na kufanya database yao kucancell linking codes. Itachukuwa masaa kwa wataalamu kubadilisha hzo codes na kuremove privacy ili ukifanya coppying ikubali. Therefore watu tuwe na subra. Jana yangekubali ningewawekea mtandaon lakini ilikataa coppying.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…