chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
ni zadi ya comedy.uliangalia olympic?
Hiyo picha sio ya mtu anayenyanyua Weights mkuu, huyo ni jamaa anafanya Synchronized Springboard diving au Springboard diving...hapo umefanya kuikata picha tu!!!
ni zadi ya comedy.
kiswahili chake ni nini?