Jamani kama kunyanyua chuma ndo hivi bora nibaki na kimwili kangu.

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,742
Reaction score
46,084


Hapo bado hajaipandisha juu sa akifikisha juu si tunampoteza wajameni.
 
uliangalia olympic?
 
Hiyo picha sio ya mtu anayenyanyua Weights mkuu, huyo ni jamaa anafanya Synchronized Springboard diving au Springboard diving...hapo umefanya kuikata picha tu!!!

kiswahili chake ni nini?
 
kiswahili chake ni nini?

Mmh sifahamu kwa tafsiri ya haraka...ila kama utakuwa ni mchezo wa Olympic games basi unaweza kuwa unaujua huu mchezo...huwa unashirikisha watu wawili au mmoja ambapo kabla ya kupiga mbizi kuingia majini huwa ananesa kwenye kipande cha ubao halafu anaruka kwenda juu na kufanya sarakasi kadhaa na kudumbukia majini mithili ya mkuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…