Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #41
Mombasa kutamu sana....
Hawa wote wako sokoni?
Kamanda, njoo Mombasa ujionee!...nguvu yaku tu hapo.
heheheheh.........kaka hii lazima ujiandae vizuri wallet
Acha uoga kamanda...kuna ndogo ndogo za vishindo huko!...:israel:
Naogopa ndogondogo
Ab-Titchaz atakwambiandio nini hio mkuu?
Ab-Titchaz atakwambia
hahaa!! mkuu niforwadie somali lady/arabic moja nifanye wife yangu...
karibu excel, japo wanasema kuingia mombasani rahisi kutoka sio kutoka balaa.anyway karibu ni semi za watu tu