Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Tafadhali kwa wakati unaokufaa jaribu kupitia makala katika kiunganishi kifuatacho:
Historia ya Mombasa
Jokes.aside....yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali kwa wakati unaokufaa jaribu kupitia makala katika kiunganishi kifuatacho:
Historia ya Mombasa
Hao ni wasomali sio wakenya. Acheni kutumia sura za warembo wa kisomali kuvutia watalii.
Hao ni wasomali sio wakenya. Acheni kutumia sura za warembo wa kisomali kuvutia watalii.
Hao ni wasomali sio wakenya. Acheni kutumia sura za warembo wa kisomali kuvutia watalii.
Na somalia ndio kuna wakikuyu, waluo na wakalenjin hahaha! Baada ya kuambiwa kwamba nchi yenu ndio yenye wanawake wasio na mvuto mmeamua kudanganya watu kwamba wasomali ni wakenya.Bwege!!..... wasomali ni kabila ndani ya Kenya , tena ndio 7th largest at 5 million....rudi darasani !
kelb wahed!
Na somalia ndio kuna wakikuyu, waluo na wakalenjin hahaha! Baada ya kuambiwa kwamba nchi yenu ndio yenye wanawake wasio na mvuto mmeamua kudanganya watu kwamba wasomali ni wakenya.
Bwege!!..... wasomali ni kabila ndani ya Kenya , tena ndio 7th largest at 5 million....rudi darasani !
kelb wahed!
Mwelimishe tu,kwani inaonekana hafahamu kama kuna wasomali wakenya vile vile, hasa kule Wajir,ni kama vile kuna wamasai wa kenya na wamasai wa Tanzania,na pia kuna wajaluo wa kenya na wajaluo wa tz,ni suala la elimu tu,huyo anaonekana anatakiwa aelimishwe usikasirike nae.STop quoting me with your stupidity!....mods can ban me if they wish!.....sina haja ya kujibizana na watu kama wewe...karejee darasani.
Good bye!
Mwelimishe tu,kwani inaonekana hafahamu kama kuna wasomali wakenya vile vile, hasa kule Wajir,ni kama vile kuna wamasai wa kenya na wamasai wa Tanzania,na pia kuna wajaluo wa kenya na wajaluo wa tz,ni suala la elimu tu,huyo anaonekana anatakiwa aelimishwe usikasirike nae.
Poa sana.Ahsante!kaka!
Nishampotezea!
Nimeipnda hiyomkuu viroba na jua kali ni hatari sana.
Mitaa ya Nyali kuna mambo mazuri