Jamani karibuni Mombasa!

Mombasa ni mji mzuri ila unaharibiwa na hawa watu wa kuja akina marehemu Makaburi na dini yao,waafrika na watu wa asili wa hapo hawana matatizo ,matatizo yanaletwa na waarabu na wasomali ambao wameiteka Mombasa kwa kuwa na pesa kutoka kwa hao Al Shababu na kuuza sembe,waswahili wamebaki raia wa daraja la tatu.
 
Nimefika mara moja nimeipenda mombasa, dinner ndani ya mtumbwi baharini na muziki acha kabisa!
 
Mombasa sienditena×3 kuna dogo dogo nyingi
 

Mmmh mkuu
 
Mkuu kweli kabisa akina Makaburi na Rogo ndio walioiharibu Mombasa. Mombasa sasa hivi hapafai.
 
Si pazuri kwa mustakabari wa maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…