Jamani karibuni Mombasa!

walahi, kuna pakuniita nikaja, kweli kwa akili zangu mwenyewe niende mombasa, tena mimi mkurya? walahi mie siji. maana mungu ataniona.
 
Wenyeji wanapaita Mambasa raha, yaani kuingia harusi japo usitegemee kutoka. Patamu sana pale...
Basi nami nakuja mkuu.
Niliku pm kitambo hukunijibu mk254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…