Jamani ku-share huku kunakubalika?

Uzuri wangu, I always keep my mouth shut.
Hakuna Confesion zaidi ya hiyo...
:shut-mouth:

Goood..mi huwa nafanya vyote..And it's difficult to tell whether kilichosemwa ni kweli au uongo...:eyebrows:
 
Mbona mnashare denda mnaponyonyana na vipi wakati wa mapenzi unapopiga mzigo bila condom ule sio uchafu?
 
kushare haimaniishi ni upendo, mengine ikibidi mwaweza kushare, lakini mswaki, pyuuu.........
 
@ Eiyer and Heart
Nidadavulieni
Mlisoma la nne 1991 mna maana gani?
 
@ Eiyer and Heart
Nidadavulieni
Mlisoma la nne 1991 mna maana gani?

I meant,nilisoma kuhusu kongosho mwaka 1991,si unajua kazi ya kongosho kwenye mwili wa binadam?
 
duh... Mi sichngiii kitu chochote!!!.wife akijifanya kuchangia nanunua kingine kipyaaaaaa.... Ndo dawa yake..
 
Nguo zenu zipi hizo.... ? Weka wazi kidogo ni...comment.

Mara nyingi wanawake wanakuwa na maumbo makubwa hasa nyonga na makalio, sasa akivaa kale ka nguo kangu na mimi ni mwembamba itakuwaje? Au mimi niki vaa guo lake lile litanikaaje? Labda nilivae kama vest! Lol!
 
Atakuwa alikung'ata kuna mijitu inang'ata utadhani imetumwa,pole mwanakwetu eeee

B. Berry umenichekesha kwa ukeli. Hyo ndo problem ya kufake mapenzi kunako six by sax. But sijang"atwa mpenzi. Kung"atwa tena lol. Nimecheeeka
 
Mara nyingi wanawake wanakuwa na maumbo makubwa hasa nyonga na makalio, sasa akivaa kale ka nguo kangu na mimi ni mwembamba itakuwaje? Au mimi niki vaa guo lake lile litanikaaje? Labda nilivae kama vest! Lol!
Khaaa, wewe utakuwa ni mwembamba kama betina na mkeo atakuwa ni mnene kama zena..
 

Alafu yale makelele bwana acha. Ukimaliza ule mchezo afua kili ikarudi afu aukaambiwa uliyokuwa ukiyaongea huwezi kukubali.
Eti mtukanie m........., Pan............., Nyo......,Nipe yote, Nitakujengea gorofa n.k lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…