Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hahahaha! Inakeraga watu hawajui tu jamani, eti mtu anaangalia blue movie afu anacopy kama ilivyo then mkikutana anaanza kukupestia, kwenye mapenzi ukimjulia mwenzio raha sana na ukikosea kidogo tu, hapandi mtu mlima, mwisho wa siku tuna FAKE... Mie wacha niitwe mshamba bt siku zote nafanya kile roho inapenda.
Duh!Haya bana!