sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Yuko sawa kabisa huyo mkeo, sasa wewe unapenda kupakwa majasho?Mke wangu balaa kweli yaani kila mtu na sabuni, mswaki,taulo, na nguo zake na tukitaka ku-do, kila mtu anaenda kuoga na kuswaki, raundi moja ikíisha tena kuoga na kuswaki na chumbani feni inawashwa haswa. Mtu akitoka jasho tunastopisha mdundo.