Jamani ku-share huku kunakubalika?

Mie hapana...denda ya kwanza, chumvini/koni panakuwa pa mwisho, mwisho kabla ya kuhitimisha safari.

Ha,ha,ha,haaaa!Kama mnazingatia usafi hakuna tatizo,mwaka 1999,niliwahi kuwa na dada mmoja hivi,tukianza mambo yeye anaanza na koni halafu denda,ilikua poa tu!
 
Kuna mtu alishawahi kusema,mapenzi ukitaka kuyafaidi usione kinyaa,unaenda chumvini,unaingiza ulimi kwenye mlango "jalala" yote haya kumfanya mtu wako apate raha,sembuse kufuli,mswaki,taulo na mengineyo?
Mswaki sishei nae, taulo naeza shea, kufuli inategemea labda kama anavaa bikini na avae ruksa, la kwake halinienei kwangu ni kaptura so ni ngumu kushea...
 
Ha,ha,ha,haaaa!Kama mnazingatia usafi hakuna tatizo,mwaka 1999,niliwahi kuwa na dada mmoja hivi,tukianza mambo yeye anaanza na koni halafu denda,ilikua poa tu!
Koni ni tofauti na chumvi asee! Koni afu denda tena its OK lakini chumvini afu denda tena NO for me, hata kiafya sio sawa!
 
Mswaki sishei nae, taulo naeza shea, kufuli inategemea labda kama anavaa bikini na avae ruksa, la kwake halinienei kwangu ni kaptura so ni ngumu kushea...

Aaaaah!Nakubaliana na wewe kwenye kufuli,ila kwenye mswaki nooo!Kwanini msishee bana,au vinywa vyenu kuoshwa ni asubuhi mpaka asubuhi?
 
Aaaaah!Nakubaliana na wewe kwenye kufuli,ila kwenye mswaki nooo!Kwanini msishee bana,au vinywa vyenu kuoshwa ni asubuhi mpaka asubuhi?
Daaah, mie nimeshindwa kabisa kushea mswaki bana iwe, asubuh, mchana au jion. Kila mmoja atumie wa kwake..
 
Mi nadhani sharing inakuwa sahihi au siyo sahihi depending on lovers. Jinsi wanavyopendana, wanavyoaminiana na walivyo na uhakika wa afya zao.Upande mwingine ukifikiria km unawaza kuchokonoa maeneo kwa ulimi, nae akajilambia koni, ingawa mtakuwa kwe ye ulimwengu mwingine wa malavidavi, the fact remain kwamba mmeshare.

As for me mswaki ni ngumu, mtu kunilamb huko maeneo pia NOOO, kuvaliana chupi pia hapana. Vingine its OK
 
perfecto King'asti!
Kama mimi mambo ya nyamnyam sitaki hata kuyasikia,sasa tumuulize baErick je ye na maErick wanayapractice?

Mke wangu balaa kweli yaani kila mtu na sabuni, mswaki,taulo, na nguo zake na tukitaka ku-do, kila mtu anaenda kuoga na kuswaki, raundi moja ikíisha tena kuoga na kuswaki na chumbani feni inawashwa haswa. Mtu akitoka jasho tunastopisha mdundo.
 
umenifungua macho ndugu yangu nakuunga mkono. Pia zimeletwa miaka hii ya kuiga wazungu
 
Yaani wewe hupendi kurambwa? Aiseee

Hajui huyu!Embu awaulize madada wenzake waliojaribu hii kitu,huwa wanakua kama wehu,mmoja alishawahi kung'oa nywele zangu kwa utam wakati niko chumvini nikimfanyia mambo!
 
Koni ni tofauti na chumvi asee! Koni afu denda tena its OK lakini chumvini afu denda tena NO for me, hata kiafya sio sawa!

fafanua jamani siwaelewi yaani unatumia kon na chumvi kwenye mapenzpi!? Hiyo baridi ya kon mpaka iyeyuke na chumvi inavyowasha. Jamani chumvi na sukari ya kon?? Mnanichanganya kabisa! Theteteeeh
 
So u don't trust your own tool?
Sio kwamba siitrust ila bana naogopa kuhamisha bakteria wa chumvini na kuwaleta mdomoni, haijalishi nimeifanyia usafi wa aina gani...lol. Sijui bana labda mie mshamba.
 
fafanua jamani siwaelewi yaani unatumia kon na chumvi kwenye mapenzpi!? Hiyo baridi ya kon mpaka iyeyuke na chumvi inavyowasha. Jamani chumvi na sukari ya kon?? Mnanichanganya kabisa! Theteteeeh
Hahaha! Labda umwambie NN afafanue zaidi manake yeye ni mwalimu wa koni na chumvi...mie bado mwanafunzi sijajua vema.
 
na siku hizi wanalamba mpaka visivyolambika itakuwa mswaki na kijiko yakhe!!!! ruksa kama haiwasumbui
 
Ndugu yangu Baba Erick, hivi umeshagundua jinsi gani ugonjwa wa vinywa ulivyoshamiri siku hizi? ebu jaribu kufanya kaufuatiliaji kidogo uanaglie kati ya watu kumi wangapi wana meno kamili vinywani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…