Wanadamu tunakufuru sana nyakati hizi, Mungu aliumba kilakitu kwa malengo yake. Huwezi kufananisha tendo la ndoa na kuchangia mswaki aunguo kuvaliana! Maandiko ya kitabu cha dini Fulani yanakataza jinsia Fulani kuvaanguo za jinsia Fulani, tena yanaagiza kwa ukali kwamba na alaaniwe jinsia Fulanikuvaa nguo ya jinsia Fulani!
Tukirudi kwenye suala la tendo la ndoa ambalo liliagizwa kwalengo la kuongeza uzao duniani lakini sisi tukalligeuza la starehe ndipotukaongeza vionjo vya denda, kuzama chumvini, kula koni na hata kutumia mlangomwingine! Eti kwa kisingizo cha kutayarishana sijuhi kuhamasishana nk nk. Haya hayamokabisa katika mtaguso wa kuongeza uzao duniani, ingekuwa hivyo zile mimbazipatikanazo kwa kubakwa zisingekuwepo.
Sasa haya mambo ya nyongeza ndio yanapelekea kuchangia vitukama hivyo vya miswaki, nguo, taulo nk. Ila kuna jambo moja atakayekuwahajakubaliana na mimi afanye utafiti wake binafsi, mambo haya ya kufanya mengizaidi yanapelekea couples nyingi kukinahiana mapema na hivyo kuvunja mahusianomapema!