Jamani ku-share huku kunakubalika?

unamkatazaje mpenzi wako kwenda chumvini, uuuuwwwi tat nane,sweetlady?????????
Taratibu bana, unanifanya nacheka kwa loud spika wakati mkoloni yupo hapa karibu...lol. Sipendi ndio mana namkataza.
 
Hata wanawake waliobakwa first time walidhani sex ndo iko hivyo!So hata wewe ndo mawazo yako hayo!Hiyo kitu ina utaalam wake sio kulamba ilimradi tu!Huyo aliekulamba hajui namna ya kufanya hiyo shughuli!
baelezee bado hawajajua utamu wa shughuli alolo, kitu kinamung'unywa kama pipi vile utaimba haleluya
 
Hebu jaribu kama utaacha!Au waulize madada wenzio watakuambia kwanini wanalambwa!

Nilishajaribu, i see ndo maaana sipendi. Napata raha kwingineko lakini siyo huko. Na stori hzo nazisikia sana but not convinced kurudia tena.
 
.......watakuwa mwili mmoja!
 
Hivi kutukana nayo inaongeza fleva?

Ha ha ha! Santeeee! Kila mtu ana sehemu yake ya kuguswa na mzuka ukapanda, mie sipendi mapenzi ya kucopy na kupaste! Fanya kile ambacho kitafanya uridhike na usibakishe kiporo...lol

Umeonaee SL. Uzungu mwingi sometimes nuaharibu badala ya kutengeneza. Mapenzi hadi uangalie BLUE MOVIE ndo ukamfanyie mpenzi wako lol.
Fanya ile kitu roho inapenda na inayokufikisha Kileleni mwa mlima KILIMANJARO
 
baelezee bado hawajajua utamu wa shughuli alolo, kitu kinamung'unywa kama pipi vile utaimba haleluya

Au utamsikia tu,"i'm coming,i'm coming" huku mikono yake imeshika kichwa chako mpaka wakati mwingine nywele zinatoka!
 
Umeonaee SL. Uzungu mwingi sometimes nuaharibu badala ya kutengeneza. Mapenzi hadi uangalie BLUE MOVIE ndo ukamfanyie mpenzi wako lol.
Fanya ile kitu roho inapenda na inayokufikisha Kileleni mwa mlima KILIMANJARO
Hahahaha! Inakeraga watu hawajui tu jamani, eti mtu anaangalia blue movie afu anacopy kama ilivyo then mkikutana anaanza kukupestia, kwenye mapenzi ukimjulia mwenzio raha sana na ukikosea kidogo tu, hapandi mtu mlima, mwisho wa siku tuna FAKE... Mie wacha niitwe mshamba bt siku zote nafanya kile roho inapenda.
 
Ha ha ha! Santeeee! Kila mtu ana sehemu yake ya kuguswa na mzuka ukapanda, mie sipendi mapenzi ya kucopy na kupaste! Fanya kile ambacho kitafanya uridhike na usibakishe kiporo...lol

Umeonaee SL. Uzungu mwingi sometimes unaharibu. Siyo lazima ukaanalie BLUE MOVIE ndo uige ya kule kumfanyia mpenzio. Fanya tendo la ndoa liwe la uhalisia kwa uhalisia wake.
 
Unaonea kinyaa ur own salt? How about him aliyeenda kuichimba?

Koni ni tofauti na chumvi asee! Koni afu denda tena its OK lakini chumvini afu denda tena NO for me, hata kiafya sio sawa!
 
Are you married? If you are married, kushea hivyo vitu ni jambo dogo sana kwa kuwa mnashare zaidi ya hivyo vitu kama vile tendo la ndoa ambalo ni risky zaidi. So, thats not an issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…