Jamani kubet kunanitesa sana

Jamani kubet kunanitesa sana

tangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet

Mkuu acha kubet kabisa. Acha sasa hivi. Ni wachache sio zaidi ya 1% wanapata pesa kwenye kubet baada ya mwaka.

Achana kabisa na hayo mambo. Kama unataka kuwa tajiri anzisha duka betting shop like Meridian na hutaweza kuwa maskini kamwe, kama wahindi. Ushauri wa bure. Ni vizuri kuacha kujihusisha na mambo ya betting kabisa.
 
Endelea kubet mkuu, kwenye soka sio kama ule uchafu tatumzuka au biko ule ni wizi kwenye soka unatakiwa kutulia sana
 
tangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet
Mkuu wewe unaonekana umefuata mkumbo si mdau wa michezo (mpira). Ungekuwa mdau hata usingekuwa unapigwa kila siku.

Kubet pamoja na kuwa ni bahati lakini inabidi utumie akili.

Anyway pole sana!
 
Haipo play store,naenda google type " meridian bet tz" utaona pameandikwa download app
9c9a6795568a4fabe468f285672381a1.jpg
I was in my try sasa cjui hii imekaaje
 
Nyuzi za namna hii zimekua nyingi sana siku hizi....imekuaje tena huko kwa wahindi wenu???
 
Mkuu acha kubet kabisa. Acha sasa hivi. Ni wachache sio zaidi ya 1% wanapata pesa kwenye kubet baada ya mwaka.

Achana kabisa na hayo mambo. Kama unataka kuwa tajiri anzisha duka betting shop like Meridian na hutaweza kuwa maskini kamwe, kama wahindi. Ushauri wa bure. Ni vizuri kuacha kujihusisha na mambo ya betting kabisa.
Inabidi abet kwanza ili apate mtaji wa kuanzia
 
Safi sana unakichwa chepesi cha kung'amua jambo aiseee
Sasa hivi najua odd....huwa napenda less than 1.5odd...naangalia home team and away team....naangalia na historia ya team ikiwa home and away and I make decision.....kwa hiyo nachukua muda kusoma,kufanya analysis na kuamua na sifanyi kwa tamaa.
 
Back
Top Bottom