Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

Mbona hujamalizia? sema unatamani umtafune,ummeze,af umkunye kabisa, cse huwez ukatamani um meze af usitamani kum kunya
 
Pole byshernger
sio mabinti tu
hata wavulana ni kazi mno.

Hakikisha unakuwepo, sio unakuwa baba wa kukodi.
i try,i try Konnie,we acha tu,katoto kapuuzi sana haka.
 
Bucho,tatizo wakati tunalea,ma internet,fb,bbm etc nayo yanalea!
 
ni kweli
ni kama mwezi umeisha kuna dada mmoja
kampeleka mtoto wake hospital
akampime kama wameshaharibu

bahati nzuri ikawa si kweli
ukiwa karibu na mtoto ni rahisi kugundua mabadiliko madogo madogo sana.
bora hata usimpime,ukikuta 'washamharibu' ndo utafanya nini sasa? Yaani!
 
watoto wa siku hizi hawapi muda wa kuwa watoto..
wanakuwa watu wazima wenye umri mdogo mapeema mno....
well said TV,fm stations,mobile phones,internet......just say it
 
Kongosho bana...

"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..
ndugu yangu na haya mambo ya kukaa na ndugu,could result into a big problem.
 
mlee mtoto katika njia impasayo nae ataiacha hata hatakapokuwa mzee
hongera sana Babuu,lakini naamini it takes more than being a seminarian,nawajua ma seminarian kibao (na wewe unawajua) ambao lifestyle yao Mungu mwenyewe tu ndo atatoa hukumu.
 
Dah pole ndugu, ongea na mwanao usimwonee haya na pia watoto wanajifunza kwe2 wazazi, so bishanga watch urself isijekuwa ndo yale yale ya naenda kusema kwa mama.
 
Pole sana Bishanga..
We are all sailing in the same the same boat...

Kwani ana umri gani sasa...
ndo kameingia 16,i am trying my best,kufanya pamoja homework,ibada,kutembelea wagonjwa etc lakini mmmhhh
 
Hali ni ngumu sana, wasichana wadogo hawana ubavu wa kuresist 'masomo' ya wijana na wanaume wenye uchu wa fresh kila kona, binti wa kaka yangu jana katiroka home anasingizia anakuja kwangu, amepata zeroform four juzi, tunamtafuta, naona leo tunaenda polisi kuripoti
 
Dah pole ndugu, ongea na mwanao usimwonee haya na pia watoto wanajifunza kwe2 wazazi, so bishanga watch urself isijekuwa ndo yale yale ya naenda kusema kwa mama.
i keep on telling her it is her life and not my life,namwambia nitakufa nimwache duniani humu atakuwa wa nani,she has to prepare ajitegemee na awe na maisha mazuri,kenyewe kanaona dad will be there for me for ever,how?
 
kameturn 16

16 ni kakubwa, inabid uandike getin mbwa mkali.. hata kama huna mbwa. i kid..! lakin ukwel mtoto wa kike akipata upendo mzur wa baba anadumu sana hii ni kwa mujibu wa story za humuhumu jf
 
Bucho,tatizo wakati tunalea,ma internet,fb,bbm etc nayo yanalea!

naelewa mkuu ila we jitahidi kuwa nao karibu na uwafundishe neno la Mungu . Itawasaidia kuwajenga kifikra na watakuwa sio rahisi sana kudanganyia . Na wazazi ni lazima tubadilishe style zetu za kuishi ili kuokoa familia zetu .
 
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!

Huyu mwanangu Ngina mie ninafikiria kumpeleka kwa Nyanya yake huko kijijini, mzee mwenzangu hawa mabinti zetu, yaani kaazi kwelikweli...............
Humu humu JF kuna mifano mingi tu, kuna vibinti ukisoma maoni yao, unajua kabisa ni pasua kichwa..................LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…