Legend Hax
Member
- Oct 24, 2011
- 55
- 15
Mbona hujamalizia? sema unatamani umtafune,ummeze,af umkunye kabisa, cse huwez ukatamani um meze af usitamani kum kunya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watoto wa siku hizi hawapi muda wa kuwa watoto..
wanakuwa watu wazima wenye umri mdogo mapeema mno....
Bucho,tatizo wakati tunalea,ma internet,fb,bbm etc nayo yanalea!Pole mkuu watoto kwakweli wanaumiza kichwa sio wa kike wala wakiume . Wazazi wajifunze kuwa karibu na watoto , hi inasaidia kuwajua na kuwasaidia watakapo kwenda katika njia mbaya mapema kabla mambo hayajaharibika sana . Na tujaribu kuwa na urafiki na watoto wetu watakuwa hawana uwoga wa kutuambia mambo mengi, hivo inakuwa rahisi kumshauri .
bora hata usimpime,ukikuta 'washamharibu' ndo utafanya nini sasa? Yaani!ni kweli
ni kama mwezi umeisha kuna dada mmoja
kampeleka mtoto wake hospital
akampime kama wameshaharibu
bahati nzuri ikawa si kweli
ukiwa karibu na mtoto ni rahisi kugundua mabadiliko madogo madogo sana.
bora hata usimpime,ukikuta 'washamharibu' ndo utafanya nini sasa? Yaani!
ndugu yangu na haya mambo ya kukaa na ndugu,could result into a big problem.Kongosho bana...
"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..
hongera sana Babuu,lakini naamini it takes more than being a seminarian,nawajua ma seminarian kibao (na wewe unawajua) ambao lifestyle yao Mungu mwenyewe tu ndo atatoa hukumu.mlee mtoto katika njia impasayo nae ataiacha hata hatakapokuwa mzee
i keep on telling her it is her life and not my life,namwambia nitakufa nimwache duniani humu atakuwa wa nani,she has to prepare ajitegemee na awe na maisha mazuri,kenyewe kanaona dad will be there for me for ever,how?Dah pole ndugu, ongea na mwanao usimwonee haya na pia watoto wanajifunza kwe2 wazazi, so bishanga watch urself isijekuwa ndo yale yale ya naenda kusema kwa mama.
kameturn 16
Bucho,tatizo wakati tunalea,ma internet,fb,bbm etc nayo yanalea!
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
well said TV,fm stations,mobile phones,internet......just say it