mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
kweli kabisa rafiki.watoto wa siku hizi hawapi muda wa kuwa watoto..
wanakuwa watu wazima wenye umri mdogo mapeema mno....
usikasike mkuu,ichukulie jinsi inavyokuja.dah sasa si bora awe binti utasema ndo muda wake!
Mie mzazi wangu wa kike ananchanganya na mambo hayo km vile nayeye ni kibinti cha miaka 18,
nashindwa nimfanyeje aisee wanawake mwalimu wao kipofu daah
andaa na bastola kabisa mkuu,tena akijua ndo unampenda atatembea na kila mwenye ukuni unayemfahamu ili hasira zikupande vizuri.yaani kwa ujumla ukishapata bintimtoto anza kabisa kufarakana na marafiki zako wa kiume ili wakae mbali,pia usiweke houseboy wala dereva wala asiende gengeni,maybe asitoke kabisa yaani inabidi nikuonee huruma tu maana mwanya wowote akipata tayari kaliwaPamoja na matendo na inshu mbaya nyingi zinazohuwahusu mabinti ,
ila kila siku naomba my first child kuwa a babygal,
sijui hata kwa nini aiseee..
Umepotea sana leo mpaka nkaogopa... Hasira zimeisha?wala usikonde,bishanga mjanja,and he is a survivor,nshapitia mitihani mingi,especially involving women.
Huyo msumbufu ndie 1st born?nakubaliana na wewe asilimia elfu kumi,hata mimi wanangu wengine hawanisumbui kihivyo!
Huyo msumbufu ndie 1st born?
What is not going on here?? Lol
Ukweli ni kwamba kila mtoto ana challenge zake...........
Hehehe, kipipi bana, huna kabinti weye?
Shemeji!
wanawake tunataabu kila siku masimango.
Sema!!! nini kwani uongo??? Acha watu wale vitu wewe punguza unoko bana aaaaaahhhhh we dingi vipi mbona unataka kuleta za kuleta ha ha ha ha ha ha sijaandika mimi bana ni mtoto wangu ndo kanisaidia kuandika
Mabinti ni wepesi kulea familia na wadogo zake ,andaa na bastola kabisa mkuu,tena akijua ndo unampenda atatembea na kila mwenye ukuni unayemfahamu ili hasira zikupande vizuri.yaani kwa ujumla ukishapata bintimtoto anza kabisa kufarakana na marafiki zako wa kiume ili wakae mbali,pia usiweke houseboy wala dereva wala asiende gengeni,maybe asitoke kabisa yaani inabidi nikuonee huruma tu maana mwanya wowote akipata tayari kaliwa
anyway nashukuru mungu nna vidume tupu saahii nasubiri kesi tu,na im sure ntazihandle vizuri sana na kuwapa morale vidume vyangu ku-do more
so they can bring more cases
Am glad to see DA!