Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Me too dear. Naona Bishanga anataka kuleta unoko kwa Koku acha watu wajilie vitu shida iko wapi bana??? Bishanga kuwa mpoleeeeeeeeeeeee
Mhabarishe huyo......stage huwa hazirukwi ati!! Lol.......ila na we ndo nini kuwa unapotea potea bila hata kuaga? Muite basi na MJ1 angalau naye aje nimuone!
ndi nkuba bishanga abashaija nkanyampila olwazi lwayatika! Ngendelele kwebuga?Hapa sasa walau umeniaminisha kwamba ilikuwa ni kwa ajili ya kufurahisha baraza!!
Hata mie huwa namweleza Bibi DC kuwa hiyo (blue) ndiyo raha yenyewe ambayo mtu ambaye hakubarikiwa kupata watoto anaikosa.
Ndo maana sijamwelewa mdogo wangu wangu Bishanga kwa nini analia lia!!
Hata jina lake amelikana mwenyewe...Hafai tena kuitwa Bishanga bashaija!!
Babu DC!!
unakunywa pombe?
kipipi na wewe una support u boko haram?
Bwana weee niko Khatoum for three months now network ya kupima huku. MJ1 ngoja nimkong'oli nijue what is not happening
Umepotea sana leo mpaka nkaogopa... Hasira zimeisha?
Mkuki kwa nguruwe......., Bishanga unakumbuka kale kabinti ka mzee Rutakyamirwa ulivyo kuwa unakasumbua mpaka mdingi wake akakaamisha makazi?
Hahahah......alafu bado na humu jamvini anataka awapokonye wenzie! Bishanga bana........
Mwache ajipe pressure za bure au anataka binti yake atumie dildo. Hujambo bibie lakini
Hahahah.....umenichekesha kweli, ye aende nae tu taratibu ila akisema afuatilie kila unyayo unapokanyaga, atashindwa aisee! BTW, mi sijambo kabisa, za kifungoni??? Lol