Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

eeh hebu tupitie historia yetu ya balehe...bana vichochoroni ukimsubiria binti wa watu...mvizie atoke shule unampeleka geto 'kula'.Sasa zama hizi ndiyo mbaya sana maana kuna simu,internet..mafataki kama akina Bishanga...ni balaa tupu.

Wiki hii hii kuna kabinti kana umri wa miaka 16 nakaona kanajilengeshalengesha kwangu....nimekapotezea.Lakini ole wake nijue ni binti wa Bishanga nageuza mawazo kwa sababu aliniudhi kwenye thread yake ya nyumba ndogo.

Pole Bishanga,Mwombe Mungu.
 
mzee ushawahi sikia ile kitu inaitwa 'sexual offences act'? Adhabu ni mvua salasini mazee ukibambwa na underage,are you ready?
 
Hako ka 16 ndio umri wenyewe wa matatizo, kanadhani kamekua wakati bado kana safari ndefu, tena kwa sasa hivi kana miaka kama 10 mingine ndio kawe kamtu. ingekua enzi zile ningekuambia miaka mi5 ijayo utapumzika. watoto wa siku hizi wanajikuza haraka haraka sana utadhani wameambiwa maisha yanaisha. pole Bishanga, kaza buti, usichoke kusema.
it is so challenging dear,yaani sa ingine wazazi hata hatujui tufanye nini.
 
Hapo umenifundisha kitu maana kule ni pasua kichwa kupelekwa selo ni kitendo cha faster
na ukome,we badala ya kujifungia chumbani na SL unamangamanga kwenye majukwaa ya wanene wa inji hii,ukome!
 
BY THE POWERS CONFERRED TO ME BY PAW I AM HEREBY DECLARING ZIS USEFUL SRED CLOSED!!!
be so informed and senks for contributing!!
 
nashukuru wazazi wangu waliniweka karibu na mlango wa kanisa nilisoma biblia kwa kukaririshwa mistari ilifikia wataki hata kudokoa sukari niliona ni dhambi na shule za seminary zimenisaidia.fimbo aiwezi kumbadili au kumtuliza lakini jina la yesu ndiyo dawa kwa watoto wote mapepe.
kumbe Bible pia mnakariri! Nimevutiwa na hili
 
kapimwa nini je hujui wengi hutunza bikira na kutumia plab bili waalimu na wazazi wasijue na hii ni mbaya zaidi
ni kweli
ni kama mwezi umeisha kuna dada mmoja
kampeleka mtoto wake hospital
akampime kama wameshaharibu

bahati nzuri ikawa si kweli
ukiwa karibu na mtoto ni rahisi kugundua mabadiliko madogo madogo sana.
 
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!

mkuu kama wanaharakati watakuacha upite salama kwa uzi huu mshukuru mungu. Ngoja nichungulie nione kama umepita salama!
 
Pole bishanga, watoto wa kike wanahitaji kukumbushwa na kuelimishwa mara kwa mara ili kuwanusuru na madudu.
 
Mkwe unanizeeshea wanangu kabla ya umri wao......
Mkwe hata sisi hatukupenda kabisa, ila sasa yule dogo alikuwa anaamka kakake akiamka tu maana wanalala wenyewe. sasa akiona kaka anavalishwa anaondoka na yeye anaambiwa akalale tena inakuwa balaa, na balaa kubwa zaidi kaka anaporudi anamsimulia jinsi wanavyobembea huku shule na ku-have fun. akawa anakuwa mnyonge sana, maana kakake ndo best friend sasa kuachwa peke yake wakati mwenizie anaondoka ikawa inamuhuzunisha sana.
tukaenda kuomba shule ili awe anaenda kucheza tu.................. ghafla tunaona anarudi na homework na yupo very happy kuzifanya.... hatuna jinsi inabidi aendelee tu
 
Heshima yako dada mkubwa......kwenye mambo kama haya huwa nakutegemea sana, sijui kwanini huwa unapotea sana!!
Mdogo wangu, ni kweli kwenye hii sector nipo muda mrefu sana, ila inafurahisha sana.............. maana ukiwa na watoto dakika 2 unataka kummeza kama kaka Bishanga anavyosema lakini dakika ijayo unamwambia Mungu nimekupa nini mpaka ukanipa zawadi hii nzuri? hata mtoto awe mtukutu namna gani, kuna muda anakufanya ujione una bahati sana kumpata.
 
Oh yeah...nna mpango huo aisee. Nitakucheki muda ukikaribia.

Poa,

Niliacha timu ya kutosha huko....Watakuwa wenyeji wako wazuri sana....

Naamini utafika kila eneo la Ta......Makorora, Barabara ya 20, Mikanjuni, Raskazone, Sahare, Mabawa na hata kwa Minchi!

Wakumbushe wakupeleke Ikweta ukaonje supu ya pweza.....Ila uwe mwangalifu usijikute unaenda kwenye geti la Bishanga,....Keshakata tamaa huyo na anaweza kuku-Tupac!!

Babu DC!!
 
baada ya kuni put off big time leo ndo kanajipendekeza kwangu,utafanyaje nawe ni mzazi,nimekakumbatia.am sorry dad nyiiiiiiiiiiiiingi.
hao ndo watoto my dear, leo anakufanya sura yako ionekane kama umeambiwa una masaa machache ya kuishi, kesho wanakufanya utamani kuishi milele. Enjoy!
 
Mdogo wangu, ni kweli kwenye hii sector nipo muda mrefu sana, ila inafurahisha sana.............. maana ukiwa na watoto dakika 2 unataka kummeza kama kaka Bishanga anavyosema lakini dakika ijayo unamwambia Mungu nimekupa nini mpaka ukanipa zawadi hii nzuri? hata mtoto awe mtukutu namna gani, kuna muda anakufanya ujione una bahati sana kumpata.

hao ndo watoto my dear, leo anakufanya sura yako ionekane kama umeambiwa una masaa machache ya kuishi, kesho wanakufanya utamani kuishi milele. Enjoy!

Mzima wewe??

Kwa mabandiko haya tu...., naomba ruhusa yako niwasilishe jina la FP kwa Superman,

https://www.jamiiforums.com/mahusia...n-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Halafu upunguze kupotea usije kukosa vigezo..lol!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom