Daah, ujinga wa wavulana na wanaume wa siku hizi wanashindia chipsi mayai na rosti, keki na chokolate. Sasa unategemea nini. Kweli mleta uzi kama anachosema ni kweli hata ingekuwa mimi ningekasirika sana.
Sasa ulitaka niwataarifu ili uhondo ukatike
du hata mimim kitu kimedisa
ungewaelekea hata peke yako direct ungejipatia chochote then ungekwenda kujitafutia wa kwako
Nilinogewa kuangalia chezo zima, hata hivyo nishajiahidi kuwa yule mdada cku yeyote nitakayoona nae na akakubali kuzungumza na mimi ajue kuwa atamsahau yule bitozi
Hivi Tundu Lissu ni Mbunge wa wapi vile
Ha ha ha ndiyo maana yake unakatisha utamu alafu nifanyaje hasira zinakuwa nyingi umepata utamu mi bado binti angempa kibao
Wacha weeee......
Jaman wanaume wengine tabu sana aisee
Huyo lazma anapenda kula chips kiepe ndio mana kaharibu mechi inatakiwa ale mngande au shilo kujenga mwili