Jamani kumbe hii kitu ina raha yake

Jamani kumbe hii kitu ina raha yake

Ungewataarifu wana usalama ungejipatia japo za kumalizia weekend, tatizo lako ni mpenda chabo
 
Daah, ujinga wa wavulana na wanaume wa siku hizi wanashindia chipsi mayai na rosti, keki na chokolate. Sasa unategemea nini. Kweli mleta uzi kama anachosema ni kweli hata ingekuwa mimi ningekasirika sana.

Na hakika nilikuwa nimepanga kama yule binti pale angekubali kunipa hata sekunde kadhaa za kuchukua mawasiliano yake leo hii angekuwa na tabasamu
 
ungewaelekea hata peke yako direct ungejipatia chochote then ungekwenda kujitafutia wa kwako

Nilinogewa kuangalia chezo zima, hata hivyo nishajiahidi kuwa yule mdada cku yeyote nitakayoona nae na akakubali kuzungumza na mimi ajue kuwa atamsahau yule bitozi
 
Back
Top Bottom