Jamani kuna list ya majina tcu,ambao wamechaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,,nenda web yao,ucheki,,

Jamani kuna list ya majina tcu,ambao wamechaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,,nenda web yao,ucheki,,

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Jaman kuna list kubwa sana TCU,imetolewa kwa wanafunzi waliomba kupitia tcu,waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,kama jina lako limo,inabidi uandikie barua tcu ya kuwajulisha chuo unachotaka kwenda,,,hiyo ni kuazia leo tarehe 28,august,mpaka tarehe 4,september.baada ya hapo,kama ujawajulisha,,,watakupa chuo mojawapo ulivyochaguliwa.barua zote zitumwe kwa njia ya email,,au kwenda physically.thanks wadau:kev:
 
najalib kuyaweka hapa yanazingua wakuu,ngoja nikeep on trying,,,,
 
naona weng wao ni wale walio apply kupitia vyuoni moja kwa moja(direct entry,non cas)
 
Majina mengi ni ya wale walioomba Muslim University of Morogoro na vyuo vingine sababu MUM hawaombi via TCU so watu walifanya Double application wakajikuta wanaselectiwa kotekote overr.........!!!!
 
Back
Top Bottom