Jaman kuna list kubwa sana TCU,imetolewa kwa wanafunzi waliomba kupitia tcu,waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,kama jina lako limo,inabidi uandikie barua tcu ya kuwajulisha chuo unachotaka kwenda,,,hiyo ni kuazia leo tarehe 28,august,mpaka tarehe 4,september.baada ya hapo,kama ujawajulisha,,,watakupa chuo mojawapo ulivyochaguliwa.barua zote zitumwe kwa njia ya email,,au kwenda physically.thanks wadau:kev: