MTAKATIFU GIOVANI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 342
- 112
yes you are right we help each other. TENA KWA KWELI KAMA ATAFIKIA MAKUBALIANO MAZURI MIMI NITAMSHAURI AKUPE HATA ZAIDI KWA SABABU UTAKUWA UMEMSAIDIA SANA.Naweza kukuunganisha na mtu mwenye excavator, na mnaweza kufikia makubaliano yoyote kati ya hayo uliyoyaainisha lakini tukubaliane makubaliano yoyote utakayoafikiana nae unanirushia Million moja kama kamisheni yangu ya kukuunganisha.
ok, LAKINI NILIPOKWENDA KUWAONA WATU WA MANTRAC WALINISHAURI NICHUKUE LA MNYORORO KWA SABABU NI DURABLE NA LINA NGUVU ZAIDI. LAKINI PIA MWAMBA ULIOPO KWENYE CLAM YETU NI MKUBWA SANA SIO WA KUMALIZA BAADA YA MWEZI AU MIEZI, NI KITU YA KULA MIMI, WATOTO WANGU NA WAJUKUU, MAANA YANGU NI KWAMBA EXCAVATOR IKIISHAFIKA TU PALE SITE BASI HAITOKI TENA NJE YA ENEO LILE. NDIYO MAANA NATAKA NINUE YA KWANGU.Mkuu sina hii kitu ila nahitaji sana kuwa nayo tatizo yana bei sana. Ila kwa shughuli zako za uchimbaji tafuta lile lenye magurudumu linapunguza gharama ya usafirishaji vile linaenda lenyewe. Hayo ya munyororo lazima upate lori la kubebea!
Excavator inafanya kazi nyingi tu. Ni kweli ila kwa sahvi mm nashauri hainahaja
ok, LAKINI NILIPOKWENDA KUWAONA WATU WA MANTRAC WALINISHAURI NICHUKUE LA MNYORORO KWA SABABU NI DURABLE NA LINA NGUVU ZAIDI. LAKINI PIA MWAMBA ULIOPO KWENYE CLAM YETU NI MKUBWA SANA SIO WA KUMALIZA BAADA YA MWEZI AU MIEZI, NI KITU YA KULA MIMI, WATOTO WANGU NA WAJUKUU, MAANA YANGU NI KWAMBA EXCAVATOR IKIISHAFIKA TU PALE SITE BASI HAITOKI TENA NJE YA ENEO LILE. NDIYO MAANA NATAKA NINUE YA KWANGU.
tupo wanne, bei ya used pale mantrac ni karibu milioni mia mbili, mpya ni miloni mia tatu na ushee hivi.mko wawili kwenye hii post? Anyway kununua used sio chini ya $40,000 mkuu.......
naomba unitumie contact zako kwenye PM nikutafute.
tupo wanne, bei ya used pale mantrac ni karibu milioni mia mbili, mpya ni miloni mia tatu na ushee hivi.
kama hutajali niunganishe naye, nitakupa hata 2m mradi tufikie makubaliano mazuri, lakini pia nitakupa tender ya kuweka mgahawa kule site na mambo mengine mazuri nitakayoona yanafaa.siyo contacts zangu, zangu za nini? Kubali sharti langu hilo moja nikuunganishe hapa hapa, tukubaliane hapa hapa. Commission yangu 1 m kutoka kwako mkiafikiana, na ntahakikisha mnaafikiana.
Cut the bs and confirm here, with all members who pass here as witnesses, and i'll put you thru here, right away.
Pm za nini? Kwani tunatongozana? Wewe uliweka kila kitu wazi hapa, wacha tumalize biashara wazi hapa hapa. Kuna nini cha kuficha kwani tunaibiana hapa?
Ameandika excavator na si grader. Kwanini ubadilishe aliyoyaandika? hiyo ya grader wewe umeitoa wapi?
Nyie ndio mnaofeli shule.