ingekuwa rahisi hivyo mbona sasa hivi tungekuwa na vyombo vyote vinavyotakiwa. Lakini ni wazo zuri ambalo tumekwisha lifanyia kazi na ndiyo maana ukisoma maelezo yangu utagundua kwamba sisi sio masikini kabisa. Tunaelekea huko kama tukikosa nguvu kwa sasa.nakup ushaur wabure..nend mwendo baruti fikisha hadi mifuko alfu then saga.hapo utakuw nakilo5.hapo utakuwa nagreda yako
Hakuna kitu kama hicho, labda huelewi kuwa mume wangu anamiliki migodi huko Itumbi, Chunya. Nami huwepo huko kwa muda mrefu sana, nnajuwa terminology zote za migodi ya dhahabu na nnajuwa kuanzia kuchimba mpaka ku reclaim (marejeo) dhahabu.
Kuwa makini unapo comment kutetea ujinga.
mfuko mmoja wa kilo 25 unatoa kati ya gram 4 mpaka 5. Sasa piga hesabu kwa ton.
Siyo contacts zangu, zangu za nini? kubali sharti langu hilo moja nikuunganishe hapa hapa, tukubaliane hapa hapa. Commission yangu 1 m kutoka kwako mkiafikiana, na ntahakikisha mnaafikiana.
Cut the BS and confirm here, with all members who pass here as witnesses, and I'll put you thru here, right away.
PM za nini? kwani tunatongozana? wewe uliweka kila kitu wazi hapa, wacha tumalize biashara wazi hapa hapa. Kuna nini cha kuficha kwani tunaibiana hapa?
Nimependa swali lako na nadhani hawatakujibu nahisi harufu ya mtu kupigwa hapa.kwani gram 1 ni kiasi gani sokoni?
Naweza kukuunganisha na mtu mwenye excavator, na mnaweza kufikia makubaliano yoyote kati ya hayo uliyoyaainisha lakini tukubaliane makubaliano yoyote utakayoafikiana nae unanirushia Million moja kama kamisheni yangu ya kukuunganisha.
gram moja ina range kati ya 50,000/= mpaka 60,000/= kutegemeana na bei ya soko.
mfuko mmoja wa kilo 25 unatoa kati ya gram 4 mpaka 5. Sasa piga hesabu kwa ton.
Hakuna kitu kama hicho, labda huelewi kuwa mume wangu anamiliki migodi huko Itumbi, Chunya. Nami huwepo huko kwa muda mrefu sana, nnajuwa terminology zote za migodi ya dhahabu na nnajuwa kuanzia kuchimba mpaka ku reclaim (marejeo) dhahabu.
Kuwa makini unapo comment kutetea ujinga.
wewe sangarara mimi sijaleta huu mjadala kwa ajili ya kubishana bei, kama umezowea kuwalalia wachimbaji wadogowadogo mimi sio mchimbaji mdogo, kama una dhahabu leta kwa bei ya 50,000/= nitakupa, ili mimi angalao uniachie 10,000/= faida.We acha uongo wewe, kipimo cha dhahabu ni ounce, ounce moja ni sawa na gram 28.35, ounce moja kwa sasa haivuki dola 1,700. maana ake gram moja haiwezi kwenda kwa hiyo bei.
wewe sangarara mimi sijaleta huu mjadala kwa ajili ya kubishana bei, kama umezowea kuwalalia wachimbaji wadogowadogo mimi sio mchimbaji mdogo, kama una dhahabu leta kwa bei ya 50,000/= nitakupa, ili mimi angalao uniachie 10,000/= faida.
ukipiga hesabu vizuri utakuta inakuja sawa na bei unayosema, kumbe una fahamu fahamu kidogo mambo haya.We acha uongo wewe, kipimo cha dhahabu ni ounce, ounce moja ni sawa na gram 28.35, ounce moja kwa sasa haivuki dola 1,700. maana ake gram moja haiwezi kwenda kwa hiyo bei.
mimi sio digara wa dhahabu mimi nina migodi ambayo nazalisha dhahabu harafu nawaletea wahindi dsm, mimi sifanyi biashara ya kuchuuza dhahabu, mimi ni mzalishaji sio mchuuzi wa dhahabu. nilikupa hiyo ofer baada ya kuona unabisha ukweli.Ninayo dhahabu ndio, nauza kwa dola na ni cash, kama unataka tukutane goma-DRC Congo.