Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

nakup ushaur wabure..nend mwendo baruti fikisha hadi mifuko alfu then saga.hapo utakuw nakilo5.hapo utakuwa nagreda yako
ingekuwa rahisi hivyo mbona sasa hivi tungekuwa na vyombo vyote vinavyotakiwa. Lakini ni wazo zuri ambalo tumekwisha lifanyia kazi na ndiyo maana ukisoma maelezo yangu utagundua kwamba sisi sio masikini kabisa. Tunaelekea huko kama tukikosa nguvu kwa sasa.
 
Hakuna kitu kama hicho, labda huelewi kuwa mume wangu anamiliki migodi huko Itumbi, Chunya. Nami huwepo huko kwa muda mrefu sana, nnajuwa terminology zote za migodi ya dhahabu na nnajuwa kuanzia kuchimba mpaka ku reclaim (marejeo) dhahabu.

Kuwa makini unapo comment kutetea ujinga.

Hapo kwenye bold nahisi umeua mbu kwa bunduki FF.
 
Jamani wadau changieni..tupo wengine hapa wenye migodi ya dhahabu lakini hatujajua wapi pa kuanzia ....maoni zaidi yanakaribishwa
 
Bibi Fai u mwepesi sana wa kughafirika mpendwa wetu. Jitahidi uwe na customer centricity approach and KYC hapo utaweza kuhandle mihemko hasi katika suala la biashara!
Btw mkuu msocrates ningependa nijongee karibu nawe, make wahenga walisema ukikaa karibu na muwalidi utanukia uwalidi!
Nakutakia mafanikio mema na makubaliano mazuri na shangazi yetu faizaFoxxy
 
Last edited by a moderator:
Siyo contacts zangu, zangu za nini? kubali sharti langu hilo moja nikuunganishe hapa hapa, tukubaliane hapa hapa. Commission yangu 1 m kutoka kwako mkiafikiana, na ntahakikisha mnaafikiana.

Cut the BS and confirm here, with all members who pass here as witnesses, and I'll put you thru here, right away.

PM za nini? kwani tunatongozana? wewe uliweka kila kitu wazi hapa, wacha tumalize biashara wazi hapa hapa. Kuna nini cha kuficha kwani tunaibiana hapa?

Leo kazi ipo hapa si bure!
 
Naweza kukuunganisha na mtu mwenye excavator, na mnaweza kufikia makubaliano yoyote kati ya hayo uliyoyaainisha lakini tukubaliane makubaliano yoyote utakayoafikiana nae unanirushia Million moja kama kamisheni yangu ya kukuunganisha.

Aisee, Kumbe CCM mnaiuza nchi kwa bei ya chini namna hii kwa wageni.
Mtu anakuambia anadhahabu chini ya ardhi wewe unamuomba commission ya milioni moja. FaizaFoxy unaakili kweli wewe?
Acha kuendekeza njaa.

Muambie unamuunganisha alafu anakupa 10 Million upfront alafu upewe na ownership, sema kabisa na percentage hata ya 20% akilalamika lalamika mtaishia hata kwenye 10%

Hau hata hauelewi thamani ya dhahabu mama wa watu??
 
gram moja ina range kati ya 50,000/= mpaka 60,000/= kutegemeana na bei ya soko.

We acha uongo wewe, kipimo cha dhahabu ni ounce, ounce moja ni sawa na gram 28.35, ounce moja kwa sasa haivuki dola 1,700. maana ake gram moja haiwezi kwenda kwa hiyo bei.
 
Hakuna kitu kama hicho, labda huelewi kuwa mume wangu anamiliki migodi huko Itumbi, Chunya. Nami huwepo huko kwa muda mrefu sana, nnajuwa terminology zote za migodi ya dhahabu na nnajuwa kuanzia kuchimba mpaka ku reclaim (marejeo) dhahabu.

Kuwa makini unapo comment kutetea ujinga.

we FaizaFoxy wewe, mmeo awe na mgodi wa dhahabu alafu uwe huku unatafuta comission za milioni moja. jamani jamani jamani, watu wameuwawa??
 
Last edited by a moderator:
We acha uongo wewe, kipimo cha dhahabu ni ounce, ounce moja ni sawa na gram 28.35, ounce moja kwa sasa haivuki dola 1,700. maana ake gram moja haiwezi kwenda kwa hiyo bei.
wewe sangarara mimi sijaleta huu mjadala kwa ajili ya kubishana bei, kama umezowea kuwalalia wachimbaji wadogowadogo mimi sio mchimbaji mdogo, kama una dhahabu leta kwa bei ya 50,000/= nitakupa, ili mimi angalao uniachie 10,000/= faida.
 
Ninayo dhahabu ndio, nauza kwa dola na ni cash, kama unataka tukutane goma-DRC Congo.
 
We acha uongo wewe, kipimo cha dhahabu ni ounce, ounce moja ni sawa na gram 28.35, ounce moja kwa sasa haivuki dola 1,700. maana ake gram moja haiwezi kwenda kwa hiyo bei.
ukipiga hesabu vizuri utakuta inakuja sawa na bei unayosema, kumbe una fahamu fahamu kidogo mambo haya.
 
Ninayo dhahabu ndio, nauza kwa dola na ni cash, kama unataka tukutane goma-DRC Congo.
mimi sio digara wa dhahabu mimi nina migodi ambayo nazalisha dhahabu harafu nawaletea wahindi dsm, mimi sifanyi biashara ya kuchuuza dhahabu, mimi ni mzalishaji sio mchuuzi wa dhahabu. nilikupa hiyo ofer baada ya kuona unabisha ukweli.
 
Back
Top Bottom