Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

FaizaFoxy; umepata mkwanja wako kutoka kwenye deal ya kukodisha excavetor au jamaa kaingia mitini?
 
Option number 2 mgao ni nusu kwa nusu kati ya sehemu 2 (nyie na mwenye vifaa) au ni sehemu 4 yaani wewe majirani zako na mwenye vifaa?
 
hivi hii mivijiko huwa manunuzi yake yanarange ktk kiasi gani? kidogo/cha wastani/kikubwa
 
mkuu unachobisha ni nini na unachoandika ni kipi?

if 1 ounce = 28.3gm
and 1 ounce =1700usd

1700/28.3=60usd

1usd=tsh1640
60usdx1640= tsh 98500/=

actually wewe umepata gram 1 ni bei kubwa kuliko bei aliyosema msocrates

sasa ulikuwa unanisahihisha kitu gani?
 
Huyo Sangarara achana nae ni pasua kichwa, hana alijualo zaidi ya kubishana kijinga tu.

Utaingizwa choo cha kiume ndugu, mathematics msaidie huyu mama interpretation ya hizo computations zako, sababu na wewe umetoa conclusion iliyokinyume na end results sasa sijui umefanyiwa hizo hesabu au nini.
 
Habari yako,samahani unaweza kunisaidia zaidi kuhusu biashara ya dhahabu nje ya uzi huu?nina hitaji sana kufahamu baadhi ya mambo kabla sijaingia kwenye biashara
mimi sio digara wa dhahabu mimi nina migodi ambayo nazalisha dhahabu harafu nawaletea wahindi dsm, mimi sifanyi biashara ya kuchuuza dhahabu, mimi ni mzalishaji sio mchuuzi wa dhahabu. nilikupa hiyo ofer baada ya kuona unabisha ukweli.
 
Habari yako,samahani unaweza kunisaidia zaidi kuhusu biashara ya dhahabu nje ya uzi huu?nina hitaji sana kufahamu baadhi ya mambo kabla sijaingia kwenye biashara
pm contact zako ili tuwasiliane.
 
Viherehere wanaingizwa kwenye mtego wa Panya
 
kuna kitu nimejifunza kwako madam FaizaFoxy
 
Njoo pm nikupe mshkaji wangu ana hela na anafanya hizi issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…