Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

FaizaFoxy; umepata mkwanja wako kutoka kwenye deal ya kukodisha excavetor au jamaa kaingia mitini?
 
Option number 2 mgao ni nusu kwa nusu kati ya sehemu 2 (nyie na mwenye vifaa) au ni sehemu 4 yaani wewe majirani zako na mwenye vifaa?
 
hivi hii mivijiko huwa manunuzi yake yanarange ktk kiasi gani? kidogo/cha wastani/kikubwa
 
mkuu unachobisha ni nini na unachoandika ni kipi?

if 1 ounce = 28.3gm
and 1 ounce =1700usd

1700/28.3=60usd

1usd=tsh1640
60usdx1640= tsh 98500/=

actually wewe umepata gram 1 ni bei kubwa kuliko bei aliyosema msocrates

sasa ulikuwa unanisahihisha kitu gani?
 
Huyo Sangarara achana nae ni pasua kichwa, hana alijualo zaidi ya kubishana kijinga tu.

Utaingizwa choo cha kiume ndugu, mathematics msaidie huyu mama interpretation ya hizo computations zako, sababu na wewe umetoa conclusion iliyokinyume na end results sasa sijui umefanyiwa hizo hesabu au nini.
 
Habari yako,samahani unaweza kunisaidia zaidi kuhusu biashara ya dhahabu nje ya uzi huu?nina hitaji sana kufahamu baadhi ya mambo kabla sijaingia kwenye biashara
mimi sio digara wa dhahabu mimi nina migodi ambayo nazalisha dhahabu harafu nawaletea wahindi dsm, mimi sifanyi biashara ya kuchuuza dhahabu, mimi ni mzalishaji sio mchuuzi wa dhahabu. nilikupa hiyo ofer baada ya kuona unabisha ukweli.
 
Habari yako,samahani unaweza kunisaidia zaidi kuhusu biashara ya dhahabu nje ya uzi huu?nina hitaji sana kufahamu baadhi ya mambo kabla sijaingia kwenye biashara
pm contact zako ili tuwasiliane.
 
Viherehere wanaingizwa kwenye mtego wa Panya
 
Siyo contacts zangu, zangu za nini? kubali sharti langu hilo moja nikuunganishe hapa hapa, tukubaliane hapa hapa. Commission yangu 1 m kutoka kwako mkiafikiana, na ntahakikisha mnaafikiana.

Cut the BS and confirm here, with all members who pass here as witnesses, and I'll put you thru here, right away.

PM za nini? kwani tunatongozana? wewe uliweka kila kitu wazi hapa, wacha tumalize biashara wazi hapa hapa. Kuna nini cha kuficha kwani tunaibiana hapa?
kuna kitu nimejifunza kwako madam FaizaFoxy
 
ndugu zangu wanaJF salamu, JAMANI MIMI NA WENZANGU WATATU TUNA ENEO LETU AMBAPO KUNA MWAMBA AMBAO UNATOA DHAHABU KATIKA KIWANGO KIZURI LAKINI KUTOKANA NA KUKOSA VITENDEA KAZI VYA KISASA TUNASHINDWA KUVUNA DHAHABU YA KUWEZA KUTUONDOA KWENYE UMASIKINI KWA HARAKA, SASA BASI BAADA YA KUJADILIANA NA WADAU WENZANGU TUKAJA NA MKAKATI HUU UFUATAO. TUNAOMBA KAMA KUNA MTU ANA MTAMBO WA KUCHIMBIA (EXCAVATOR) AMBAYO KWA SASA HAINA KAZI TUNAOMBA TUKUBALIANE MOJA KATI YA MAMBO YAFUATAYO;
1. ATUKODISHE KWA BEI YA SHILINGI MILIONI MBILI KWA SIKU au

2. TUMPE SHARE SAWA NA SISI KWA KILE KITAKACHOPATIKANA BAADA YA KUKATA GHARAMA ZOTE ALIZOTUMIA IKIWA NI PAMOJA NA GHARAMA ZA KUUSAFIRISHA MTAMBO KWENDA ENEO LA KAZI, GHARAMA ZA UZALISHAJI KAMA VILE MAFUTA n.k., GHARAMA ZA MATENGENEZO YA MTAMBO PALE UNAPOHARIBIKA au

3. TUMPE FEDHA KIASI AMBACHO NI ROBO YA GHARAMA HALISI YA MTAMBO HARAFU ATUKOPESHE TUMLIPE KWA INSTALMENTS YA MIEZI SITA. HII OPTION TUMEJARIBU KUONGEA NA WATU WA MANTRAC LAKINI TUMESHINDWA KUFIKIA MAKUBALIANO KWA SABABU WANATAKA NUSU YA GHARAMA ILIPWE KWANZA HARAFU INAYOBAKI ILIPWE KWA INSTALMENT YA MIEZI MITATU KITU AMBACHO TUNAONA KITATUWEKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU SANA YA UZALISHAJI.

4. KAMA MUHUSIKA YEYOTE ANA OPTION TOFAUTI NA HIZO ANAWEZA KUCHANGIA. jamani wanaJF nakaribisha msaada wa mawazo, maana mawazo nayo ni msaada mkubwa sana kwangu mimi. asanteni.
Njoo pm nikupe mshkaji wangu ana hela na anafanya hizi issue
 
Back
Top Bottom