Jamani kuna utajiri mkubwa wa dhahabu kwenye claim yangu

msocrates

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
425
Reaction score
93
ndugu zangu wanaJF salamu, JAMANI MIMI NA WENZANGU WATATU TUNA ENEO LETU AMBAPO KUNA MWAMBA AMBAO UNATOA DHAHABU KATIKA KIWANGO KIZURI LAKINI KUTOKANA NA KUKOSA VITENDEA KAZI VYA KISASA TUNASHINDWA KUVUNA DHAHABU YA KUWEZA KUTUONDOA KWENYE UMASIKINI KWA HARAKA, SASA BASI BAADA YA KUJADILIANA NA WADAU WENZANGU TUKAJA NA MKAKATI HUU UFUATAO. TUNAOMBA KAMA KUNA MTU ANA MTAMBO WA KUCHIMBIA (EXCAVATOR) AMBAYO KWA SASA HAINA KAZI TUNAOMBA TUKUBALIANE MOJA KATI YA MAMBO YAFUATAYO;
1. ATUKODISHE KWA BEI YA SHILINGI MILIONI MBILI KWA SIKU au

2. TUMPE SHARE SAWA NA SISI KWA KILE KITAKACHOPATIKANA BAADA YA KUKATA GHARAMA ZOTE ALIZOTUMIA IKIWA NI PAMOJA NA GHARAMA ZA KUUSAFIRISHA MTAMBO KWENDA ENEO LA KAZI, GHARAMA ZA UZALISHAJI KAMA VILE MAFUTA n.k., GHARAMA ZA MATENGENEZO YA MTAMBO PALE UNAPOHARIBIKA au

3. TUMPE FEDHA KIASI AMBACHO NI ROBO YA GHARAMA HALISI YA MTAMBO HARAFU ATUKOPESHE TUMLIPE KWA INSTALMENTS YA MIEZI SITA. HII OPTION TUMEJARIBU KUONGEA NA WATU WA MANTRAC LAKINI TUMESHINDWA KUFIKIA MAKUBALIANO KWA SABABU WANATAKA NUSU YA GHARAMA ILIPWE KWANZA HARAFU INAYOBAKI ILIPWE KWA INSTALMENT YA MIEZI MITATU KITU AMBACHO TUNAONA KITATUWEKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU SANA YA UZALISHAJI.

4. KAMA MUHUSIKA YEYOTE ANA OPTION TOFAUTI NA HIZO ANAWEZA KUCHANGIA. jamani wanaJF nakaribisha msaada wa mawazo, maana mawazo nayo ni msaada mkubwa sana kwangu mimi. asanteni.
 
Mkuu pole na majukumu, kwanza nikupongeze kwa kuchukua ya kumfukuza adui umasikini.umeadika vizuri na mawazo yako ni mazuri lakini hujatuambia ni jinsi gani tuwasiliane na wewe.
 
kwanz uko wapi?je mawe unasaga nann?je mfuko wa kg25 unatoa gram ngapi?je mwamba wa uzalishaj umepatikan umbali gan?
 
greda ya nn?km kuna uzalishaji watu watakuja..mwendo ni wabaruti na diger(compreser)ndyo muhimu greda haina kazi mku
 
Ameandika excavator na si grader. Kwanini ubadilishe aliyoyaandika? hiyo ya grader wewe umeitoa wapi?

Nyie ndio mnaofeli shule.

msamiati wa machimbo upo tofauti kiasi, inachukua muda kuuelewa, hayo majina mawili yanaweza maanisha kitu kimoja au tofauti kulingana na mazoea ya wahusika japo ni vitu tofauti kwenye kada na kadamnasi nyingine.
 
Hakuna kitu kama hicho, labda huelewi kuwa mume wangu anamiliki migodi huko Itumbi, Chunya. Nami huwepo huko kwa muda mrefu sana, nnajuwa terminology zote za migodi ya dhahabu na nnajuwa kuanzia kuchimba mpaka ku reclaim (marejeo) dhahabu.

Kuwa makini unapo comment kutetea ujinga.
 
ndugu zangu wanaJF salamu, JAMANI MIMI NA WENZANGU WATATU TUNA ENEO LETU AMBAPO KUNA MWAMBA AMBAO UNATOA DHAHABU KATIKA KIWANGO KIZURI LAKINI KUTOKANA NA KUKOSA VITENDEA KAZI VYA KISASA TUNASHINDWA KUVUNA DHAHABU YA KUWEZA KUTUONDOA KWENYE UMASIKINI KWA HARAKA, SASA BASI BAADA YA KUJADILIANA NA WADAU WENZANGU TUKAJA NA MKAKATI HUU UFUATAO. TUNAOMBA KAMA KUNA MTU ANA MTAMBO WA KUCHIMBIA (EXCAVATOR) AMBAYO KWA SASA HAINA KAZI TUNAOMBA TUKUBALIANE MOJA KATI YA MAMBO YAFUATAYO;
1. ATUKODISHE KWA BEI YA SHILINGI MILIONI MBILI KWA SIKU au

2. TUMPE SHARE SAWA NA SISI KWA KILE KITAKACHOPATIKANA BAADA YA KUKATA GHARAMA ZOTE ALIZOTUMIA IKIWA NI PAMOJA NA GHARAMA ZA KUUSAFIRISHA MTAMBO KWENDA ENEO LA KAZI, GHARAMA ZA UZALISHAJI KAMA VILE MAFUTA n.k., GHARAMA ZA MATENGENEZO YA MTAMBO PALE UNAPOHARIBIKA au

3. TUMPE FEDHA KIASI AMBACHO NI ROBO YA GHARAMA HALISI YA MTAMBO HARAFU ATUKOPESHE TUMLIPE KWA INSTALMENTS YA MIEZI SITA. HII OPTION TUMEJARIBU KUONGEA NA WATU WA MANTRAC LAKINI TUMESHINDWA KUFIKIA MAKUBALIANO KWA SABABU WANATAKA NUSU YA GHARAMA ILIPWE KWANZA HARAFU INAYOBAKI ILIPWE KWA INSTALMENT YA MIEZI MITATU KITU AMBACHO TUNAONA KITATUWEKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU SANA YA UZALISHAJI.

4. KAMA MUHUSIKA YEYOTE ANA OPTION TOFAUTI NA HIZO ANAWEZA KUCHANGIA. jamani wanaJF nakaribisha msaada wa mawazo, maana mawazo nayo ni msaada mkubwa sana kwangu mimi. asanteni.

Naweza kukuunganisha na mtu mwenye excavator, na mnaweza kufikia makubaliano yoyote kati ya hayo uliyoyaainisha lakini tukubaliane makubaliano yoyote utakayoafikiana nae unanirushia Million moja kama kamisheni yangu ya kukuunganisha.
 
Kwanza upo wapi huo mgodi baada ya hapo pm tufanye kazi
 
Mkuu pole na majukumu, kwanza nikupongeze kwa kuchukua ya kumfukuza adui umasikini.umeadika vizuri na mawazo yako ni mazuri lakini hujatuambia ni jinsi gani tuwasiliane na wewe.
tuma pm
 
kwanz uko wapi?je mawe unasaga nann?je mfuko wa kg25 unatoa gram ngapi?je mwamba wa uzalishaj umepatikan umbali gan?
mfuko mmoja unatoa gram 4 mpaka 5, mawe tunasaga kwa kutumia bomeri hayo mengine tutajadiliana tukionana.
 
Naweza kukuunganisha na mtu mwenye excavator, na mnaweza kufikia makubaliano yoyote kati ya hayo uliyoyaainisha lakini tukubaliane makubaliano yoyote utakayoafikiana nae unanirushia Million moja kama kamisheni yangu ya kukuunganisha.
naomba unitumie contact zako kwenye PM nikutafute.
 
greda ya nn?km kuna uzalishaji watu watakuja..mwendo ni wabaruti na diger(compreser)ndyo muhimu greda haina kazi mku

Amesema EXCAVATORna sio GRADER!

C796247
 
asante mkuu kwa kunisaidia, ila wewe mkuu unaonekana una uwezo wa kunisaidia naomba unipm namba zako za simu tuongee biashara.

Mkuu sina hii kitu ila nahitaji sana kuwa nayo tatizo yana bei sana. Ila kwa shughuli zako za uchimbaji tafuta lile lenye magurudumu linapunguza gharama ya usafirishaji vile linaenda lenyewe. Hayo ya munyororo lazima upate lori la kubebea!

wheeled-excavators-20626-2730259.jpg
 
Back
Top Bottom