JAMANI KUNA WATU WANA MBINU YA KUKWEPA KULIPA MADENI HAPA MJINI

DeMostAdmired

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,579
Reaction score
3,798
Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear.

Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia ofisini waliponiona tu wakaanza kutupiana maneno kama ya ugomvi vile ugomvi so wa kitoto maneno makali mpka matusi.

Nikawasalimia mwanaume akanipungia tu mkono, mkewe hakuniiitikia kabisa. Nikasimama pale kama dk 15 nikaona ngoja niwape muda mzuri wa kugombana.

Nikazuga kama lisaaa hivi nikarudi tena vile nimefika tu waliponiona wakaanza tena mwanamke anasema yani wewe nakupenda sana lakini huridhiki unatongoza mpka vitoto vidogo unaona kwasabab una vihela hivi ndo umemaliza eh!!!!

Duh nikaona hawa watu mbna kama vile wananiigizia basi sikuongea chochote nikasepa lakini sikwenda mbali nikapaki pikpik mbele nikarudi nikawa nawasikilizia kwa pembeni kwasabab kuna ma sabufa wameyapanga Kwa nje kwahyo nikajibanza kwenye sabufa zile nikawa nawasikia wanapiga stor kawaida kabisa na wanacheka.

Asee nikajitokeza ghafla nikasimama mbele yao niwaone kama wataanza tena kugombana na walikuwa wanacheka kabisa waliponiona tu wakanyamaza nikawa nawaangalia usoni mwanamke akaanza kucheka na jamaa akaliunga nayeye akaanza kucheka nikaona hawa watu wana mbinu sana ila kwangu mbinu yao imegonga mwamba, tukafanya transaction pale pesa ikaingia kwenye acc nikasepa.
 
Bila shaka hapo ni Dar.
Dar imejaa watu wenye dhuluma sana.Watu wa mikoani wamedhulumiwa sana huko Dar na watu wanaoonekana wastaarabu wengine ndio kwanza wanajidai washika dini.
Roho za watu wa Dar kwenye pesa ni za kinyama sana.Na wengi wakishadhulumu wanakuwa motivational speakers
 
Back
Top Bottom