Zitajeni bank basi!!!Huna hela utatajwa na nani?
Kumbe ulitaka fursa ziwapite?Zitajeni bank basi!!!
Hakika neno fursa ni mujarabu!!
Hizo bureau de change zinajiendesha bila watu?kama ni hela sasa mbona sisikii bureau de change zikitajwa,mpesa ,tigo pesa,airtel money. ..na hela zenyewe
Anaona sifaKweli wewe kidume
Mademu 100,?
Mmmmmh
Shikamooo
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]nimekaa najiuliza zama za ujana wangu miaka 10 iliyopita nilivyokuwa mungu alini nusuru na magonjwa ili niweze kushuhudia leo wanawake zaidi ya mia waliwahi kuniambia oho nina mimba yako .lakini sijaitwa mpaka sasa au kutajwa au vile mi sio maarufu kama lowasa ,au mi sio kiongozi wa dini ..msiponitaja mimi nitaamini hilo zoezi bure kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna hela utatajwa na nani?
Mish uZilikuwa mimba hewa labda
Usijali mamaa..Ntakuwa napitiamo..Nadhani ndo anataka nimkule sasaUsijifiche hivyo jamani mpaka tunakusahau sasa khantwe kakupelekaje huko na hujamkula
Na umkule kisawa sawa asitamani mwingineUsijali mamaa..Ntakuwa napitiamo..Nadhani ndo anataka nimkule sasa